King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
PM[emoji16]jamani,kwa babu mbali,hapa hapa[emoji116]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PM[emoji16]jamani,kwa babu mbali,hapa hapa[emoji116]
Njoo kwa babu
Wakuu kwema? Habari za siku...natumani mko poa kabisa...kwa wale walotaka link kujua jinsi ya kufanya manunuzi online..mnisamehe kwa kuchelewa...nipo machakani kidgo..ila leo nmepata nafasi kidgo..naona niweke link ya telegram...ukiingia humo kua free kuuliza ,basi kuna maelezo yameshaandaliwa utapewa....tupo pamoja ndugu zangu...nafurah kuona uzi unaendelea![]()
![]()
Join hapo chini
Wakuu kwema? Habari za siku...natumani mko poa kabisa...kwa wale walotaka link kujua jinsi ya kufanya manunuzi online..mnisamehe kwa kuchelewa...nipo machakani kidgo..ila leo nmepata nafasi kidgo..naona niweke link ya telegram...ukiingia humo kua free kuuliza ,basi kuna maelezo yameshaandaliwa utapewa....tupo pamoja ndugu zangu...nafurah kuona uzi unaendelea![]()
![]()
Join hapo chini
"There is no telegram number with this username"Wakuu kwema? Habari za siku...natumani mko poa kabisa...kwa wale walotaka link kujua jinsi ya kufanya manunuzi online..mnisamehe kwa kuchelewa...nipo machakani kidgo..ila leo nmepata nafasi kidgo..naona niweke link ya telegram...ukiingia humo kua free kuuliza ,basi kuna maelezo yameshaandaliwa utapewa....tupo pamoja ndugu zangu...nafurah kuona uzi unaendelea [emoji110][emoji3]
Join hapo chini
Nilianza kukaa ghetto nilipo jua utamu wa ghetto
Xiaomi Users TZ [emoji1241]
Hizo taa za kuweka kwenye show case zinaitwaje na zinauzwaje?View attachment 1771291
@Kanungila Karim
Hii link uliyoweka haipo. Tuma upya mkuuWakuu kwema? Habari za siku...natumani mko poa kabisa...kwa wale walotaka link kujua jinsi ya kufanya manunuzi online..mnisamehe kwa kuchelewa...nipo machakani kidgo..ila leo nmepata nafasi kidgo..naona niweke link ya telegram...ukiingia humo kua free kuuliza ,basi kuna maelezo yameshaandaliwa utapewa....tupo pamoja ndugu zangu...nafurah kuona uzi unaendelea [emoji110][emoji3]
Join hapo chini
[emoji848]Njoo kwa babu
Hii link uliyoweka haipo. Tuma upya mkuu
Hizo taa za kuweka kwenye show case zinaitwaje na zinauzwaje?
Hizo taa za kuweka kwenye show case zinaitwaje na zinauzwaje?
Ni l.e.d strip lightHizo taa za kuweka kwenye show case zinaitwaje na zinauzwaje?
Muanzisha uzi huu barikiwa sana[emoji23]Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea.
Janga hili linawakumba wana vyuo wengi,unakuta mtu anamalza chuo akiwa labda ana 25 then anarud nyumbani, mbaya zaidi anasubir kazi, halafu kazi zenyewe haijulikani utapata lini.
Hii inapelekea wana wengi kua na fear ya kuchomoka home. Kiukwel hali ya kukaa hom inakata sana..Mzee unakuta anachomoka anakuachia mikazi flani hivi howcome.
Ukija upande wa MMU ndio mambo yanakua sio mambo, mtoto anataka aje kukusalmia unaona soo kwasababu upo nyumbani, inakata sana hii
Tukija kwenye maisha ya kujituma tu. Sometime unakosa hamasa ya kupambana kwasababu ugali wa bure, unalala bure, kila kitu bure. Hii inakua ngumu kuwaza kwa mapana ili kuanza kukamilisha dream zako..
Pia inakata sana. Pale wanao unakuta wapo na mageto yao. Lakini wewe kwako ni tofauti.
Sasa naomba kila mmoja aseme alichomokaje home na kuanza kukomaa na maisha..Achilia changamoto zake kikubwa hapa ni kusepa kwa maza.
Mimi binafsi gheto nilianza kukaa soon nilivyoingia chuo, nakumbuka nilipata room ya elfu 50 nikaanza nayo kibishi, nikanunua bed ya 150, 5 kwa 6, nikatafuta feni tu ya elf 35..si unajua joto la dar..nikaingia k.koo nikavuta subwoofer ya elf 75 tu, gheto bila mziki sio geto ni choo, kujicheki mfukoni boom likawa lishakata, basi nikaendelea kuishi geto hadi namaliza chuo gheto likawa limesheheni tu.
sasa baada ya kumalza chuo. Ndio nikarudi home ujinga niliofanya ni kurudi home na baadhi ya vitu niliviuza. Kasheshe ndio ipo saa hizi. wakuu home akili inalala, vibe yote hakuna, hapa ndio najichanga nichomoke tena nirud geto nianze kupambana. hope ndani ya huu mwaka nitakua nishasepa hom kwa mara nyingine.
Sasa share kitu basi nawewe.
Nini lilikusukuma usepe home?
Kitu gani kilikupa mzuka wa kuanza kukaa geto?
Vipi ulianza kukaa geto ukiwa na kazi au kibishi tu?
Maisha yalikuaje since day one?
Je ulienjoy uamuzi wako wa kusepa home?
ulianza kununa vitu gani vya msingi na kuanza kuishi geto
Una lipi la kuwaambia wana walioko home hadi leo wakiogopa kukaa geto kisa hawana ajira bado?
Karibuni wakuu.
Dah kwaiyo mkuu ukala hivyo hivyo au?[emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787]Wakuu me ndo Kwanza nna wiki moja getto. Cku ya kwanza nilipika mchele, nkatoa bonge moja la boko wali kama ugali vle, Ila asa hv nmekuwa fundi kimtindo
Kwamba alikua bado hajawa master katika suala zima la mapishi.[emoji28][emoji28]Dah kwaiyo mkuu ukala hivyo hivyo au?[emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787]
Nmekula kibishi, sa ntamwaga hela mkuuDah kwaiyo mkuu ukala hivyo hivyo au?[emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787]