Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Wakuu kwema? Habari za siku...natumani mko poa kabisa...kwa wale walotaka link kujua jinsi ya kufanya manunuzi online..mnisamehe kwa kuchelewa...nipo machakani kidgo..ila leo nmepata nafasi kidgo..naona niweke link ya telegram...ukiingia humo kua free kuuliza ,basi kuna maelezo yameshaandaliwa utapewa....tupo pamoja ndugu zangu...nafurah kuona uzi unaendelea
emoji110.png
emoji3.png

Join hapo chini

Wakuu kwema? Habari za siku...natumani mko poa kabisa...kwa wale walotaka link kujua jinsi ya kufanya manunuzi online..mnisamehe kwa kuchelewa...nipo machakani kidgo..ila leo nmepata nafasi kidgo..naona niweke link ya telegram...ukiingia humo kua free kuuliza ,basi kuna maelezo yameshaandaliwa utapewa....tupo pamoja ndugu zangu...nafurah kuona uzi unaendelea [emoji110][emoji3]

Join hapo chini

"There is no telegram number with this username"
unaeza share tena link hiyo mkuu
 
"There is no telegram number with this username"
unaeza share tena link hiyo mkuu
Xiaomi Users TZ [emoji1241]
Karibu kwenye official group la fans na watumiaji wa simu za Xiaomi n.k [emoji1241], Kua huru ku share ujuzi na uzoefu wako wa kutumia simu hizi, Features mpya za MIUI na uzoefu wa manunuzi kutoka Aliexpress, Amazon, eBay, Banggood, Taobao, Gearbest, Alibaba n.k
 
Wakuu kwema? Habari za siku...natumani mko poa kabisa...kwa wale walotaka link kujua jinsi ya kufanya manunuzi online..mnisamehe kwa kuchelewa...nipo machakani kidgo..ila leo nmepata nafasi kidgo..naona niweke link ya telegram...ukiingia humo kua free kuuliza ,basi kuna maelezo yameshaandaliwa utapewa....tupo pamoja ndugu zangu...nafurah kuona uzi unaendelea [emoji110][emoji3]

Join hapo chini

Hii link uliyoweka haipo. Tuma upya mkuu
 
Hii link uliyoweka haipo. Tuma upya mkuu
 
Hizo taa za kuweka kwenye show case zinaitwaje na zinauzwaje?

Jina silijui
Ila ni taa za kwenye magar au pikipik vinakua ba rangi ya blue au carrot vinapokea volts12
Kifupi utazipata kwenye maduka ya umeme wa magali
 
Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea.

Janga hili linawakumba wana vyuo wengi,unakuta mtu anamalza chuo akiwa labda ana 25 then anarud nyumbani, mbaya zaidi anasubir kazi, halafu kazi zenyewe haijulikani utapata lini.

Hii inapelekea wana wengi kua na fear ya kuchomoka home. Kiukwel hali ya kukaa hom inakata sana..Mzee unakuta anachomoka anakuachia mikazi flani hivi howcome.

Ukija upande wa MMU ndio mambo yanakua sio mambo, mtoto anataka aje kukusalmia unaona soo kwasababu upo nyumbani, inakata sana hii

Tukija kwenye maisha ya kujituma tu. Sometime unakosa hamasa ya kupambana kwasababu ugali wa bure, unalala bure, kila kitu bure. Hii inakua ngumu kuwaza kwa mapana ili kuanza kukamilisha dream zako..

Pia inakata sana. Pale wanao unakuta wapo na mageto yao. Lakini wewe kwako ni tofauti.

Sasa naomba kila mmoja aseme alichomokaje home na kuanza kukomaa na maisha..Achilia changamoto zake kikubwa hapa ni kusepa kwa maza.

Mimi binafsi gheto nilianza kukaa soon nilivyoingia chuo, nakumbuka nilipata room ya elfu 50 nikaanza nayo kibishi, nikanunua bed ya 150, 5 kwa 6, nikatafuta feni tu ya elf 35..si unajua joto la dar..nikaingia k.koo nikavuta subwoofer ya elf 75 tu, gheto bila mziki sio geto ni choo, kujicheki mfukoni boom likawa lishakata, basi nikaendelea kuishi geto hadi namaliza chuo gheto likawa limesheheni tu.

sasa baada ya kumalza chuo. Ndio nikarudi home ujinga niliofanya ni kurudi home na baadhi ya vitu niliviuza. Kasheshe ndio ipo saa hizi. wakuu home akili inalala, vibe yote hakuna, hapa ndio najichanga nichomoke tena nirud geto nianze kupambana. hope ndani ya huu mwaka nitakua nishasepa hom kwa mara nyingine.

Sasa share kitu basi nawewe.

Nini lilikusukuma usepe home?
Kitu gani kilikupa mzuka wa kuanza kukaa geto?
Vipi ulianza kukaa geto ukiwa na kazi au kibishi tu?

Maisha yalikuaje since day one?
Je ulienjoy uamuzi wako wa kusepa home?
ulianza kununa vitu gani vya msingi na kuanza kuishi geto
Una lipi la kuwaambia wana walioko home hadi leo wakiogopa kukaa geto kisa hawana ajira bado?

Karibuni wakuu.

Muanzisha uzi huu barikiwa sana[emoji23]
 
Back
Top Bottom