Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

250.. mchina

Mbao kawaida 350

Classic 450

Mninga inazidi hizo bei
Mchina ndio kama haya
Screenshot_20220501-220311_1.jpg
Screenshot_20220501-220213_1.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kipind nmeanza kukaa getto kuna siku dingi alikuja kunicheki (nilikuw naumwa) alikuta nalalia mkeka na shuka moja ya kimasai.

nilikaa nae kama masaa manne akaniaga anaenda sokoni wakati anarudi nikasikia mlio wa pkpk kutoka nje namuona anashusha godoro 5x6 alafu nene kichiz akanipa kisha akaaga anarudi nyumbani maana muda wa magari ulikuw umeenda.

haikuchukua ata week nililiuza nikaongezea kwenye biashara nikaendelea kulalia mkeka.

sasa kuna siku alikuja town akaomba aache mizigo yake kwangu aisee ..............

ila haya maisha
 
We jamaa haukufnya poa kuuza aise.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa haukufnya poa kuuza aise.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu shida unaijua vzr???.biashara ilikuw imeyumba sana,kodi sijalipa,mbaya zaidi frem ikachukuliwa na mwenye nayo so nikaanza moja tena,manzi niliyekuw naye alianza nyodo nikapoteza ramani

ila huwez amini kasi niliyorudi nayo hata mm najishangaa .dingi nilimftafutia bonge moja la zawadi hadi leo sijamwambia zawad ilitokana na nini
 
Mkuu hii ya kuuza godoro ilishawahi kunitokea hata mimi nilijichanga nikanunua godoro baadaye life likayumba ikabidi niuze hiyo hela nikalipia kodi ya nyumba. Ninamshukuru Mungu sana baada ya msoto wa muda mrefu nilikuja kutoka kwenye hiyo hali.

Kwenye maisha kupanda na kushuka kupo sana sema hali huwa zinatofautiana cha msingi ni kutokukata tamaa na kumuomba Mungu.
 
Back
Top Bottom