Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Nataka maeneo ya ubungo ubungo hapo au mwenge nisarandie warembo wa chuo mzeya.
Utaipata tena maeneo ya Ubungo yupo dalali mmoja mzee wa makamo. Shukia Legho nenda na barabara inayopanda kwenye vibanda wanao choma kiti moto, ukifika kiwanda cha Tanica cha kahawa upande huo huo wa kulia utaona kibanda cha kushona viatu na genge ulizia dalali wa nyumba.

Anaitwa Mzee Shayo. Fasta utamuona, atakusaidia sana.
 
IMG_7473.jpg
geto la fundi[emoji28]
Mziki umeleta zengwe nnacheza nao
 
Utaipata tena maeneo ya Ubungo yupo dalali mmoja mzee wa makamo. Shukia Legho nenda na barabara inayopanda kwenye vibanda wanao choma kiti moto, ukifika kiwanda cha Tanica cha kahawa upande huo huo wa kulia utaona kibanda cha kushona viatu na genge ulizia dalali wa nyumba.

Anaitwa Mzee Shayo. Fasta utamuona, atakusaidia sana.
Huyu mzee katusaidia kumbe wengi😂
 
Back
Top Bottom