Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Mkuu kwa bei hiyo bila shaka kiwanja kipo juu ya mawe
Ni tambarare mkuu huwezi amini.

umeme upo karibu sana na kiwanja.

maji yako karibu ni kuvuta tu.

mwenyewe aliuzia shida sana.

wanunuzi tuligombana sana kukipata. Nilitoa advance elfu 70 baadae nikamalizia 180,000.
IMG_20220529_173628_087.jpg

Nilipigiwa simu za vitisho sana kuhusu bei yangu hio, kwamba nimempiga mwenye kiwanja.

nilichofanya nikatoa Taarifa kwa mtendaji kata ndio akazima.mgogoro ulioanzishwa na Mwenyekiti wa mtaa
 
Unadhani ni buku nane[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiona mwanaume yupo kwenye geto lake mpe salute[emoji23][emoji23][emoji23]
Wee mwanaume kukaa gheto hatuanzi na godoro la million kasoro. Acha zako. Hiyo million ujue ndio tayari gheto lilisha ng'aa kabisa....kinachobaki hapo ni kualika mrembo aje alibariki kwa kukojolea godoro
 
Ook najua huko godoro ni bei chee,,,,majuzi nilienda uliza bei ya godoro la ndoto yangu nikaishia kupigwa na kitu kozito,,,nikajisemea bado sana[emoji2440]
 
Back
Top Bottom