Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Ghetto limejaa, mpaka blender!!!
Hongera kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghetto limejaa, mpaka blender!!!
Hapana Mkuu, huwa nasogeza jiko upande wa piliSasa unapika karibu na kitandaa? Duuh.
Asanteekila la kheri mkuu.
Hongera endelea kupambana,ila cjaelewa iyo elfu hamsini matumiz yake kwamba ulitoa kodi miez sita,ukanunua na godoro ikabaki elfu 30 ,Nimeanza kwa kuchoka kukaa nyumbani Kuna umri ukifika unatakiwa tu uondoke nyumbani sikua na kazi but nilikua na akiba nikatafuta chumba Cha elf 50 nikalipia miezi 6 nikanunua godoro na vitu vichache nikabakiwa kama na elf 30 ya kuanza maisha sikua najua nitaishije lakini nilikua nafurahia kupanga niliona nimepiga hatua flani maisha bado hayajakaa sawa but naimani yatakaa sawa tu napambana
All the best nduguNimeanza kwa kuchoka kukaa nyumbani Kuna umri ukifika unatakiwa tu uondoke nyumbani sikua na kazi but nilikua na akiba nikatafuta chumba Cha elf 50 nikalipia miezi 6 nikanunua godoro na vitu vichache nikabakiwa kama na elf 30 ya kuanza maisha sikua najua nitaishije lakini nilikua nafurahia kupanga niliona nimepiga hatua flani maisha bado hayajakaa sawa but naimani yatakaa sawa tu napambana
Word is bond [emoji109]Wanangu tuzidi kupambana,maisha yenye unafuu yapo kama tutaongeza juhudi. Pia tusiache kuzingatia sana sehemu ambayo tunarudi kulala kila siku baada ya mihangaiko.
Haijalishi uko bize kiasi gani ila hakikisha kwako unapajali hata kama ni single room.
Ghetto likiwa bora kiasi hata morrale ya kuwahi kurudi ghetto huongezeka, hata mood ya mapambano ya shilingi huongezeka pia.
Kurefresh ni muhimu wanangu wa maghettoni ila tusijisahau sana,hapa namaanisha kwa mtu mwenye kipato cha laki 3 kula bata la laki 1 hiyo ni anasa. Tununue vitu ambavyo vitakua kama namna moja au nyingine ya kutunza pesa zetu. Hapa namaanisha nunua furnitures, electronic devices,KIWANJA (kama kipato kina ruhusu),etc.
Hii itasaidia hata kama siku huna pesa mkononi ila unakua unaiona pesa katika angle nyingine ya assets na vinginevyo.
ZINGATIA: PENDA GHETTO LAKO,HESHIMU GHETTO LAKO"
Si kila mtu anapaswa kulazwa ghetto kwako.
Safi sana,ulivyotoka na hatua utaendelea kupiga,kuliko ulivyokuwa kwenye Comfort zone.Nimeanza kwa kuchoka kukaa nyumbani Kuna umri ukifika unatakiwa tu uondoke nyumbani sikua na kazi but nilikua na akiba nikatafuta chumba Cha elf 50 nikalipia miezi 6 nikanunua godoro na vitu vichache nikabakiwa kama na elf 30 ya kuanza maisha sikua najua nitaishije lakini nilikua nafurahia kupanga niliona nimepiga hatua flani maisha bado hayajakaa sawa but naimani yatakaa sawa tu napambana
Mzee baba weka hata TV guard hapoGhetto limepata upgrade wadau (Samsung 55’). Mungu mkubwa.View attachment 2290367
Ghetto limejaa, mpaka blender!!!
Hongera kijana
Yaan uwiiiiiih.Ana hatari huyo mwamba
Ooooh hapo sawaaah.Hapana Mkuu, huwa nasogeza jiko upande wa pili
Pamoja sana G kubwa.Word is bond [emoji109]
Uko sahihi Mzee, inasaidia sana.Mzee baba weka hata TV guard hapo
Word has bornWord is bond [emoji109]
Niko Kyela kwa mambo fulani, sababu nitakuwa huku kwa miezi 6 nikaamua panga, bana nyumba za huku mbayaaaa.Imekuaje tena [emoji23]
Sentensi yako ya mwisho nimeipenda sana.Wanangu tuzidi kupambana,maisha yenye unafuu yapo kama tutaongeza juhudi. Pia tusiache kuzingatia sana sehemu ambayo tunarudi kulala kila siku baada ya mihangaiko.
Haijalishi uko bize kiasi gani ila hakikisha kwako unapajali hata kama ni single room.
Ghetto likiwa bora kiasi hata morrale ya kuwahi kurudi ghetto huongezeka, hata mood ya mapambano ya shilingi huongezeka pia.
Kurefresh ni muhimu wanangu wa maghettoni ila tusijisahau sana,hapa namaanisha kwa mtu mwenye kipato cha laki 3 kula bata la laki 1 hiyo ni anasa. Tununue vitu ambavyo vitakua kama namna moja au nyingine ya kutunza pesa zetu. Hapa namaanisha nunua furnitures, electronic devices,KIWANJA (kama kipato kina ruhusu),etc.
Hii itasaidia hata kama siku huna pesa mkononi ila unakua unaiona pesa katika angle nyingine ya assets na vinginevyo.
ZINGATIA: PENDA GHETTO LAKO,HESHIMU GHETTO LAKO"
Si kila mtu anapaswa kulazwa ghetto kwako.
All the best,we ni shujaa so far!!Nimeanza kwa kuchoka kukaa nyumbani Kuna umri ukifika unatakiwa tu uondoke nyumbani sikua na kazi but nilikua na akiba nikatafuta chumba Cha elf 50 nikalipia miezi 6 nikanunua godoro na vitu vichache nikabakiwa kama na elf 30 ya kuanza maisha sikua najua nitaishije lakini nilikua nafurahia kupanga niliona nimepiga hatua flani maisha bado hayajakaa sawa but naimani yatakaa sawa tu napambana