Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Nimeanza kwa kuchoka kukaa nyumbani Kuna umri ukifika unatakiwa tu uondoke nyumbani sikua na kazi but nilikua na akiba nikatafuta chumba Cha elf 50 nikalipia miezi 6 nikanunua godoro na vitu vichache nikabakiwa kama na elf 30 ya kuanza maisha sikua najua nitaishije lakini nilikua nafurahia kupanga niliona nimepiga hatua flani maisha bado hayajakaa sawa but naimani yatakaa sawa tu napambana
Hongera endelea kupambana,ila cjaelewa iyo elfu hamsini matumiz yake kwamba ulitoa kodi miez sita,ukanunua na godoro ikabaki elfu 30 ,
Nawasilisha.
 
Nimeanza kwa kuchoka kukaa nyumbani Kuna umri ukifika unatakiwa tu uondoke nyumbani sikua na kazi but nilikua na akiba nikatafuta chumba Cha elf 50 nikalipia miezi 6 nikanunua godoro na vitu vichache nikabakiwa kama na elf 30 ya kuanza maisha sikua najua nitaishije lakini nilikua nafurahia kupanga niliona nimepiga hatua flani maisha bado hayajakaa sawa but naimani yatakaa sawa tu napambana
All the best ndugu
 
Wanangu tuzidi kupambana,maisha yenye unafuu yapo kama tutaongeza juhudi. Pia tusiache kuzingatia sana sehemu ambayo tunarudi kulala kila siku baada ya mihangaiko.
Haijalishi uko bize kiasi gani ila hakikisha kwako unapajali hata kama ni single room.

Ghetto likiwa bora kiasi hata morrale ya kuwahi kurudi ghetto huongezeka, hata mood ya mapambano ya shilingi huongezeka pia.

Kurefresh ni muhimu wanangu wa maghettoni ila tusijisahau sana,hapa namaanisha kwa mtu mwenye kipato cha laki 3 kula bata la laki 1 hiyo ni anasa. Tununue vitu ambavyo vitakua kama namna moja au nyingine ya kutunza pesa zetu. Hapa namaanisha nunua furnitures, electronic devices,KIWANJA (kama kipato kina ruhusu),etc.

Hii itasaidia hata kama siku huna pesa mkononi ila unakua unaiona pesa katika angle nyingine ya assets na vinginevyo.

ZINGATIA: PENDA GHETTO LAKO,HESHIMU GHETTO LAKO"

Si kila mtu anapaswa kulazwa ghetto kwako.
Word is bond [emoji109]
 
Nimeanza kwa kuchoka kukaa nyumbani Kuna umri ukifika unatakiwa tu uondoke nyumbani sikua na kazi but nilikua na akiba nikatafuta chumba Cha elf 50 nikalipia miezi 6 nikanunua godoro na vitu vichache nikabakiwa kama na elf 30 ya kuanza maisha sikua najua nitaishije lakini nilikua nafurahia kupanga niliona nimepiga hatua flani maisha bado hayajakaa sawa but naimani yatakaa sawa tu napambana
Safi sana,ulivyotoka na hatua utaendelea kupiga,kuliko ulivyokuwa kwenye Comfort zone.
 
Wanangu tuzidi kupambana,maisha yenye unafuu yapo kama tutaongeza juhudi. Pia tusiache kuzingatia sana sehemu ambayo tunarudi kulala kila siku baada ya mihangaiko.
Haijalishi uko bize kiasi gani ila hakikisha kwako unapajali hata kama ni single room.

Ghetto likiwa bora kiasi hata morrale ya kuwahi kurudi ghetto huongezeka, hata mood ya mapambano ya shilingi huongezeka pia.

Kurefresh ni muhimu wanangu wa maghettoni ila tusijisahau sana,hapa namaanisha kwa mtu mwenye kipato cha laki 3 kula bata la laki 1 hiyo ni anasa. Tununue vitu ambavyo vitakua kama namna moja au nyingine ya kutunza pesa zetu. Hapa namaanisha nunua furnitures, electronic devices,KIWANJA (kama kipato kina ruhusu),etc.

Hii itasaidia hata kama siku huna pesa mkononi ila unakua unaiona pesa katika angle nyingine ya assets na vinginevyo.

ZINGATIA: PENDA GHETTO LAKO,HESHIMU GHETTO LAKO"

Si kila mtu anapaswa kulazwa ghetto kwako.
Sentensi yako ya mwisho nimeipenda sana.
 
Nimeanza kwa kuchoka kukaa nyumbani Kuna umri ukifika unatakiwa tu uondoke nyumbani sikua na kazi but nilikua na akiba nikatafuta chumba Cha elf 50 nikalipia miezi 6 nikanunua godoro na vitu vichache nikabakiwa kama na elf 30 ya kuanza maisha sikua najua nitaishije lakini nilikua nafurahia kupanga niliona nimepiga hatua flani maisha bado hayajakaa sawa but naimani yatakaa sawa tu napambana
All the best,we ni shujaa so far!!
 
Niko Kyela kwa mambo fulani, sababu nitakuwa huku kwa miezi 6 nikaamua panga, bana nyumba za huku mbayaaaa.
Tena hapo Kyela mjini

Misumari inatoka yenyewe ukutani
[emoji23]dah we komaa tu mkuu ukimalza mitikasi kimbia
 
Back
Top Bottom