Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Ndio zile za strips??
Kama izi
Screenshot_20221127-150139~2.jpg
 
Oyaaaaa, wanangu wa magetoni niaaaaaje....
Ishu moja kwa Leo meeeen.

Tujarib kuset na kuziheshimu harakat tunazosukuma zitufikishe tunakohitaji.

Binafsi nlianza kwa kasi ya 4G kufukuzia malengo yangu,.. ila kwa sasa yameganda kdg kwa sababu nliendekeza sana wachuchu[emoji848][emoji19].

Mitikasi ninayofanya hunipa faida ya around 30k Hadi 50k kwa siku, ila kdg kibubu hakiongezeki uzito kwa sababu nimekuwa na matumizi ya ovyo ovyo.

Baada ya kupiga hesabu kwa wiki nzima nmegundua mademu wananipiga sana an.

Kwa sasa nmeamua kuacha kuwapishanisha wachuchu getto angalau nirudi kwa spidi ya uchakarikaji nlokuwa nayo before.

Wachuchu wanafelisha sana mishe
Wanasema kama hujatoboa basi wanawake weka mbali,hawa ndo wanaotufelisha kama ukiendekeza
 
Nimekua nikiufuatilia huu uzi tangu nipo shule mpaka nimeajiliwa kwenye kampuni fulani hapa jijini Dar na ninaishi nyumbani lakini ni muda sasa wa kwenda kupanga ila changamoto kila chumba ninachopelekwa na madalali hakina sifa ninazozihitaji mimi yaani sijui wenzangu mnatumia mbinu gani ya kupata magheto makali
Unataka sifa zipi mkuu
 
Umeongea ukwel saving ni muhimu sana na saving nzuri niile unayo iweke kwenye vitu vinavyo ingiza pesa au vitakuja kupanda thaman uko mbeleleni mfano ardhi , kingine tuwe na saving ya mambo ya emergency mfano ugonjwa na kutokuwa na mishe kwa mda flan.

Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Naamu,tunatakiwa kuwa na emergency fund,lakini pia sinking fund ni nzur sana kwa mahitaji tunayoyajua yanakuja
 
Back
Top Bottom