Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Hii ni kweli Mimi nilikuwa naipenda kupika na maswala ya kuoa nilikuwa sitaki kusikia. Nilipoanza kuchoka kupika hata miezi sita haikupita nakaweka wife geto
Hii inawatokea wanaume wengi, hatujaumbiwa hizi kazi lazima tuwe na wasaidizi wa hizi kazi.

Fikiria umetoka safari ya wiki nje ya nyumbani kwako, una nguo chafu, vyombo vichafu, mazingira ya nyumba ni machafu yanahitaji kufanyiwa usafi, una uchovu wa wiki nzima , ongeza na upweke noma huwezi kujisikia vizuri lazima hapa uanze kufikiria mke.

Ila upande mwingine, umerudi unakuta maji ya moto ya kuoga, chakula kizuri, nguo ulizoacha ni safi, nyumba iko safi, kwanini hapa mwanaume usiwe na utulivu wa akili?

Ila hongera mkuu kwa kufanya maamuzi sahihi.Kila la kheri muishi vizuri na mke wako.
 
Nilivyokuwa nampenda ata angebeba vitu nisingempaleka popote ndio man nilinkimbia hadi leo sjui yupo wapi unawajua madem wa Kizaramo wewe ,,,, [emoji23][emoji23]nilimkimbia
Ulijiendekeza tu
 
Nilipanga gheto vitu vyote niliuza demu wangu alitaka kunitapeli nikauza hapa kimya alivyopata na msiba kwao so akaenda uku nyuma nikauza nikahama na chumba nikarudisha najipanga niaze upya nimerudi kwanza home mwakani inshallah najipanga tena : NATOA Onyo kama kijana unapambana tafadhali Usijichanganye kuishi na videm njaaa.
Alooh [emoji23], kwaiyo ukampiga ambush
 
Hicho kitu ndicho kinanikwamisha sijui umejuaje mkuu.

nilitaka nikifisha sehemu flani kibanda ndio nifikirie kuoa.
mambo ya kuishi na familia ghetto sio kabisa aisee.
Sema hawa wahusika ndio shida ukimwambia hvo hakuelewi anaona unachelewa.
Ukishaoa majukumu yanaongezeka. hujakaa sawa ujauzito huo, upo gheto si balaa. hilo.
Haya mambo Mwanaume ndio unakua incharge,mtu asietaka kuskia vile unamwambia ,basi unampiga chini tu.
 
Mapambano yaendeleee[emoji41]
IMG_20221220_190944.jpg

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nilipanga gheto vitu vyote niliuza demu wangu alitaka kunitapeli nikauza hapa kimya alivyopata na msiba kwao so akaenda uku nyuma nikauza nikahama na chumba nikarudisha najipanga niaze upya nimerudi kwanza home mwakani inshallah najipanga tena : NATOA Onyo kama kijana unapambana tafadhali Usijichanganye kuishi na videm njaaa.
The same story to my side but that girl ni chizi she took everything, we need tu hustle ourselves, madem upuuzi tu.
 
Mapambano yaendeleee[emoji41]View attachment 2452964

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ukuta vipi? Hata pluster imeshidkan? Vipi mwenye nyumbaa n mstaafu? Hela zimekataaaa?

Afu huko uswahilini sanaaaa eeeh. Fanya ukarabati afu ndo uweke vitu vyako vya thaman, sasa hapo utadhan store vimehifadhiwa kwa dharura. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha zarau
 
Dogo mind ur words, ukoo wako mzima wote mnakaa nyumba za tiles?
If so hongereni sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ukuta vipi? Hata pluster imeshidkan? Vipi mwenye nyumbaa n mstaafu? Hela zimekataaaa?

Afu huko uswahilini sanaaaa eeeh. Fanya ukarabati afu ndo uweke vitu vyako vya thaman, sasa hapo utadhan store vimehifadhiwa kwa dharura. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sometimes kuanza maisha sio poa, hasa baadhi ya maeneo ya mjini kama dar, arusha n.k, kupanga chumba chenye tiles na dari (mwonekano mzuri) ni gharama sana you can't afford it.

So inabidi utafute vyumba vya bei nafuu ili ujipange, then mambo yakikaa poa unatafuta sehemu nzuri ya kipato chako.

So jamaa kajitahidi sana, sema apambane tu mishe zikikaa poa ahane hapo (mpaka zikae poa).
 
Back
Top Bottom