Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Bei waga zinabadirika badirika ila me nilivuta Kwa 1.2M
Daah kumbe inawezekana ila ni vile tu kuamua,ingawa unatoa pesa huku inauma ila sio case kwasababu mzigo unakua nao home na unauona kila siku.
 
Wadau nina 800k nataka ninunue kitanda na godoro zuri vya kudumu ila juzi kati nilienda kwa fundi wa vitanda akaniambia kitanda kizuri cha mbao za mninga minimum niwe na 800k akanionesha na picha baadhi ni vizuri kiukweli nikamwambia nitarudi ngoja nijipange, ninachotaka kujua ni kweli vitanda vya mninga vina bei kiasi hicho? au kama kuna mtu anajua sehemu naweza pata kitanda kizuri cha kudumu aniambie wakuu at least 600k naweza kununua.
Kama haujui mbao husika, unaenda shikishwa
 
Ni kweli ukiwa na 55" at least unapunguza tamaa ya kuwa na TV kubwa zaidi, maana hizi TV waga zina tabia ya kuanza kuonekana ndogo kadri unavyozidi kuitumia

Hiyo chombo ilinitoa 1.2 mkuu
Bado kuoa tu mkuu😃😃😃😃
 
Wana ghetto tupeane ramani za kuendelea kusalia ghetto.

Mimi natafuta tender ya part time, kufundisha English Language aidha kwa mtu binafsi, kituo ama taasisi mathalani shule.

Ikiwa utafikia mawasiliano yangu ni
0743123946
Yeyote mwenye connection husika amsaidie ndugu yetu huyu ili aendelee kusalia Maghetton.
 
Ehhh huko ndio penyewe Kwa upande wa Mbao quality, me najichanga saizi nipate Showcase moja matata sana ya Mninga
Huku mbao za kutosha Mkuu, changamoto kidogo ni katika ni hayo materials mengine kama Soft Put, Sanding sealer,Stain, Clear coat,n.k.
Katika issue ya mbao hatupati tabu kabisaaaa!! Haswa hizi pine.
 
Huku mbao za kutosha Mkuu, changamoto kidogo ni katika ni hayo materials mengine kama Soft Put, Sanding sealer,Stain, Clear coat,n.k.
Katika issue ya mbao hatupati tabu kabisaaaa!! Haswa hizi pine.
Safi sana mkuu, kama hutojali unaweza kushea nasi baadhi ya kazi zako ili tuweze kuchangiana wenyewe kwa wenyewe

Iringa kuna jamaa anajiita Kiwembe Furniture, kuna baadhi ya watu wamewahi kuagiza vitu kwake na vinafika salam tu Dar na vitu vyake ni vizuri
 
Nilianza kukaa geto siku jirani yetu aliponunua friji. Nakumbuka siku hiyo nilikuwa na kama elfu 50 mfukoni. Basi mida ya jioni jirani anashusha friji mpya kwenye box, mara akaomba nimsaidie kuingiza ndani. Baada ya hapo akatoa friji kwenye box. Lilikuwa box zuri, refu na lenye unene. Ghafla akili ikanijia nimeshapata godoro na kodi ipo mfukoni. Kesho yake mapema nikapata chumba uswahilini na maisha yakaanzia hapo. Ni miaka imepita tayari uchumi umekuwa imara na familia nnayo. Mpaka leo box langu huwa linakaa chini ya godoro langu, siwez kulitupa.
 
Kwa Mninga mkuu ni kweli kabisa, tofauti na hapo labda uwe na fundi mzuri Mkoani kisha akutengenezee design unayotaka wewe akuagizie ndio utapunguza gharama na kufikia 550-600k

Mkoani sina mkuu, kama kuna vitanda vya kijanja mnavijua niambieni nichukue kimoja.
 
Back
Top Bottom