Ulianzaje kuvuta bangi?

Afu ganja inapenda ule vizur 😋..maaana inatia njaa hatar ..Kuna siku kabla cjatokaga home nilivutishwa bhn nkarudi home nyt wote wamelala c nkafta msosi kwenye friji ili nikapashe nile 😋nkasema nionje kidogo ili nijue napasha kingi au kidogo ...aisee nilijikuta nakula msosi wote kwenye fridge...asubui naskia bimkubwa anamtafuta hayawani aliekula chakula chote. Na kuacha chombo kwenye fridge
 
Mi nilifanya kutest kama utafiti sijawahi vuta maishani, mi niliikula (edible) af nikatoka nikaenda gonga supu ya kuku ili niisharabu kikamilifu.

Bhana wee nilipigwa high ya kama masaaa nane hivi. Imagine.

Nilikuwa nasoma kitabu nishasahau kama nimekula bhange nikashangaa nafurahi tu😇. Bhana wee nilikula matunda yote nilokuwa nayo ndani nikanywa maji eti kuiflush mwilini lakini wapi.

Ila mmea ulinifanya kujiuliza swali moja kwamba hivi kuna maana gani tunakula, tunaenda tunakunya af tunakula tena af tunakunya tena?! Ni ujinga tu. Lakini oia tunaenda kufanya kazi tunaamka tunaenda tena tunarudi tunalala tunaamka tena cycle za kijinga tu.

Af kuna ile unapoteza kumbukumbu ya kitu unakifanya hapohapo imagine. Unachukua glasi unakunywa maji halafu unasahau kama umekunywa funda zilizopita unashangaa glass imeisha unaanza kujiuliza; ivi ni kweli nimekunywa maji au nilisahau kumimina nikanyanyua glass tupu!??🤔

The best thing ni kwamba muda ulipungua kasi mnoo, slow time dilation! Yaan kile kiswitch cha heater kujizima nilikiskia in slo mo; yaan 'ktaaaa' nikafraahi kichizi.

Mambo ni mengi tu. Ila those 6-8 hours were rhe experience of a lifetime asee, sijawahi kurudia hadi leo😅😅. Na situmii kilevi chochote.
 
😂😂😂😂kuwamalizia unga bilasababu za msingi
 
Aah me nilijuzia sana mwanzo nilikua na speed kubwa sana sigara pia fresh lkn nliacha kuvuta sigara kabisa Wala sitamani. Na sa hv bangi navuta mara 1 kila baad ya miez mitatu.

Nikizidisha hapo hua natapika sana nasikia vby nikitumia nakaa sawa
Hivi ni kweli au unatufurahisha tu😂
 
Mtakuja kuwehuka sikumoja😂😂😂
 
Nikiwa kidato cha tatu Chemistry imenikolea teacher wa Physics kanitangazia vita. Home mshua wangu kafariki na brother angu kipigwa risasi kweny lile tukio kibiti karo ya shule imekua yakuchanga.
Aiseh acheni
Pole best,,,uliweza kuacha ? Au Ni mpk now
 
Niliwahi kuwa na Dem anaevuta enzi hizo,,,,

Ilikuwa hivi, nilikuwa chuo, yeye ni alikuwa nurse dispensary ya wahindi tumeenda dagaa dagaa(sinza) enzi hizo tumekula mdudu choma na kamnyweso kwa sana ,,,, !!

Tumekula maisha mpaka night kali, mm nilikuwa nimepanga room na mshakaji wangu, so Dem akasema kwa mda huo tusihangaike kwenda lodge, wacha tuende kwake,,,, !

Wote tuko vyedi, tumefika kabla ya mizagamuano nashangaa anafungua droo ya dressing table yake akatoa bangi(tayari zimesokotwa) akawasha akaanza kuvuta ,,,,,

Dah, nilishangaa Sana, sikuwahi kumuona anavuta before (labd kwa sabb sikuwa na mazoea ya kwenda kwake) , aligundua ule mshangao nikapotezea ili arelax,,,,,

Kilichofuata ? Tulikesha [emoji1][emoji1][emoji1], nakumbuka nilikuwa na kipindi saa 2 sikuweza kuhudhuria,,,, akivuta alikuwa anachizika kwa nyeg***Ni game non stop Kama hukula vzr ukashiba unaumbuka aisee,,,,

Kwa muonekano huwez mgundua,,,,Yuko humble Sana, kitambo tushaachana now tunaishi mikoa tofauti.
 
Binafsi nilipata high siku ya kwanza tu, it was an amazing experience…

Sio kitambo sana, nilikuwa katika changamoto kidogo za kimaisha, so kichwa kilipata moto kidogo, mpaka hapo situmii kilevi chochote, sivuti chochote, sina ushabiki wowote, sichangamani popote.

nikaona nivute ili kichwa kitulie kidogo na ukizingatia kwa wakati ule pombe ingenigharimu zaidi

nilinunua kete tatu, nikiwa ghetto nika vuta mpaka zilipoisha (sikuzinyonga vizuri sana) nilipomaliza sikuhisi chochote so nikawa busy kwenye kompyuta
Kwq wakati huo kuna wimbo (genre ya Opera) ulikuwa ukiplay on the background

Ghafla, zikaja stimu sijawahi sikia, ninaweza iita ile hali ecstasy kwa namna fulani, ilikuwa ni hali ya msisimuko mzuri uliokuwa ukienda sambamba na ule wimbo nikajikuta naacha kila kitu na kutulia tuliii.

Hali ile ilipotokea ilikuja na usingizi mzito sana.
Nikagundua kumbe mchanganyiko wa bangi na music vinanoga sana.

Ila hali hiyo haikujirudia tena marq zingine, au niseme sio kama siku ile ya kwanza, hivyo nikaacha kuvuta.

I cant wait kujaribu combination hii ([emoji377] + [emoji192])
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Bangi ni majani ya mgomba yaliota uko kwenye mfenes yanayopita uko juu angani


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Zamani sana Tukiwa Shule...
Ilitupa stimu za kusoma sana ..
Now I can't smokie Ciggariettez any more..
 
Mtakuja kuwehuka sikumoja😂😂😂
Ndo 'nilishawehuka' hiyo siku moja.

Unajuwa samtaim ni kweli kwamba unaweza usienjoi sana ndoa kwa sababu tu huujui wala hujawahi kuuishi usingle.

Au usienjoi kufanya kazi kwa sababu hukuwahi kuwa jobless.

Kuna watu hawauenjoi vilivyo utajiri kwa sababu hawakuwahi kuwa maskini.

Nikwambie kitu dada, utaenjoi mnooooo kuwa na akili (sane) kwa sababu tu ikiwa kidogo umewah onja kuwehuka (insane). Ndo kazi ya vilevi😊
 
Wakuu mm mbona huwa navuta lakin sijawah pata stimu yoyote yaan shida nn kwan?
 
Nahisi na mimi ni muda wakuonja hiki kijiti kinipe morali
 
Kush taam ukiwa unasikiliza mziki mwenyew mageto af ka AC au kafeni kanapuliza af pemben una vi bites unatafuna au unachek movie dah kush taam nyie sema sa hiv situmii nilikua nikivuta nakua nina dharau hata simu naweka flight mode au hata mtu akipiga sipokei namtafuta asubuh stimu zikiisha,,nilikua napenda kuvuta usiku mda wa kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…