Ulianzaje kuvuta bangi?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haikupigwa threesome hapo?[emoji36][emoji36]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni story ndefu kidogo nitaelezea siku ingine ila kifupi naipenda sana hii biashara maana kwa kiasi flani imesaidia sana kubadiri maisha yangu!
Nimeweza kujenga, kusomesha watoto na pia nimenunua kagari(kama kale ka mr Bean)
[emoji23][emoji23]Tunasubir hyo story mwamba hyu hpa
 
Mimi bangi situmii niliwahi kujaribu miaka mingi sana nikiwa secondary... But kwasasa Am in love na wanawake flani hivi warembo halafu wanavuta ganja, aisee huwa nawaelewa sana... Hata kuchepuka nao ni raha halafu wengi wao wana akili sana...
 
Mimi bangi situmii niliwahi kujaribu miaka mingi sana nikiwa secondary... But kwasasa Am in love na wanawake flani hivi warembo halafu wanavuta ganja, aisee huwa nawaelewa sana... Hata kuchepuka nao ni raha halafu wengi wao wana akili sana...
me pia nawakubali sana madem wanao kula kitu
 
marijuana haijawahi kumuacha mtu salama. 99% uliyoyaandka yamenipt baada ya kuitumia now najut imenihribia formation ya maish yng but i wish to know how iong it take kuish kichwan
 
hii story nzuri sana ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Nilipata demu anaivuta
Mzuri kweli sijui nani alikua anamvutisha
Sasa yeye alihisi mi navutabkisa nilikua na zile shisha disposable
Kumbe mimi zile nazitumia kuficha unyonge nikienda club maana sio mnywaaji kiviile ni shisha tu

Ah tupo room tunataka kuchochea baiskeli akasema stopu zeazea๐Ÿ˜ akatoa mzigo ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Nilitoa macho laiki yule jamaa mweusi alivomuona prideta kwenye movie kwa mara ya kwanza akasema nilijua mtumiaji wewe nikasema no nazionaga tu sina muda
Mtoto akapiga pafu zake pale mi nabinyabinya matikiti akasema jaribu kidogo๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜


Saa 6 mchana kesho yake nikaamka chumbani kwangu uchi na jana nakumbuka navuta nimevaa kila kitu hadi kobasi๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Mrembo namkuta sebleni kuniona tu akacheka kwanza akasema usivute tena ww ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Namm mpaka leo nilimsikiliza sivuti tena๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ