Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Mkuu ulishashuka kwenye daladala utupe mawili matatu.Kwanza nilikubali nimepoteza pili nikaangalia nilikosea wapi tatu nikaanza upya kwa energy mara 10 yake. Nipo tu kwenye usafiri ila nikipata nafasi nitaandika.
Now am happy alhamdulillah
Tupe mbinu mwanakwetu.Biashara tamu jaman mimi hata uniambie uniajiri kwa 5m kwa mwezi sikubali ninamwaka wa 3 sasa, kwenye biashara na sijawahi juta
Mkuu nipe projections nisijekuwa nimepigwa kamba nalisha watu matangopori. Ukinunua dagaa wabichi ukawaanika na kutoa gunia moja, utatumia kiasi gani. Na ukija Dar litauzwaje, na gharama za usafiri ni kiasi gani. Najua kuna price fluctuations ila inakuwa reflected kwa mzalishaji na kwa consumer.faida mara mbili kwa dagaa ni uongo. Labda awe anamitubwi yake mwenyewe na anauza straight kwa mlaji wa mwishi Dsm.
Lakini kama kajichomeka somewhere kwenye chain iyo ni kamba umepigwa.
Mbona ukienda Kwa mwamposa wamejaa masikini vipi mungu hajawapa mafanikio!Muombe Mungu kwa kufunga na kuomba! Akuoneshe biashara yako ya kufanya huko ndipo kwenye mafanikio yako.
Sipendi mjadala wa dini! Tuishie hapa.Mbona ukienda Kwa mwamposa wamejaa masikini vipi mungu hajawapa mafanikio!
Waafrika tuache huu upuuzi wa dini
Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
Dini ni utapeliSipendi mjadala wa dini! Tuishie hapa.
Nilianza kufanya tgo pesa baada ya kumaliza chuo cku moja narudi home ucku wezi wakanikaba na kuchukua kila kitu na nusu waniuwe kwa vitu vya ncha kali aisee inaogopesha sana
Imechomeka yote
Yani ngoma imeenda mpaka negative dah hii ni hatari[emoji28][emoji28] nimebakiza maumivu ya deni tu.
Uzi wenyewe kwani unasemajeTokea nimeanza kusoma huu uzi amna alietoa mafanikio ya biashara kila mtu kapigwa halafu mnataka vijana tujiajiri ,na walioshindwa wengi tuu humu naona ni waajiriwa
Ni kweli mkuu ina mabonde mengi na milima kadhaaPole sana mkuu safari ya mafanikio sio rahisi.
Hii kweli Kaka usipokuwa na uimara kiroho lazima utaishi kwa kuwafanyia watu Kazi na faida hautaweza kuipata.Nimeshuhudia biashara ya mtu mmoja mlokole inafanikiwa sana, sema yule mtu anatoa zaka, alafu kwenye maombi usiseme alafu anaishi maisha matakatifu sana.
Aisee 🤣 umwambie mtu aache uzinzi, anaona Bora aende upande wa pili.
[emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu hatukimbii kwa kupenda, unalazimika kutoka nduki! We imagine mimi kuna wakati nilikua na mgahawa, asubuhi mnanunua kila kitu kwa 200,000 ikifika jioni kufunga mahesabu unakuta kila kitu kimeisha na mmepata 150,000. Hapo una vijana kama wanne wanasubiria ujira na kesho kunatakiwa hela ya sokoni kufuata mahitaji! Kwanini usivizie watu wakiondoka unakunja majiko yako unatia mfukoni na kutoka nduki kali...???[emoji1][emoji1]
Pole mkuu, mimi ni tofauti naingia visiwani mwenyewe nakusanya napeleka mwanza kuuza mwenyewe.
Kiongozi vp upande wa dagaa kutoka visiwani na kuwaleta mwanza? Hapo naulizia mtaji wa shilingi ngapi? Na sehemu ya kuuzia ukishazifikisha mwanza na ukiwa mgeni ukienda kule visiwani hamna shida au usumbufu unaoweza kukupata?Pole mkuu, mimi ni tofauti naingia visiwani mwenyewe nakusanya napeleka mwanza kuuza mwenyewe.
Ni kweli ila inategemea na jinsi ulivyojipanga na hiyo biashara pamoja na connection ulizonazo.Wanasema huko Dar kila biashara inalipa, kila kitu ukiuza unapata mahela, sijui Ni kweli?
Hizo stori za kusimuliwa kuwa biashara fulani inalipa sana ndio kitu huwa kinawaingiza chaka watu wengi sana,kwa mfano amesimuliwa hivyo siku akipata mtaji anaingia kichwakichwa bila kuchunguza mwisho wa siku anakula za uso.faida mara mbili kwa dagaa ni uongo. Labda awe anamitubwi yake mwenyewe na anauza straight kwa mlaji wa mwisho Dsm.
Lakini kama kajichomeka somewhere kwenye chain iyo ni kamba umepigwa.
Ulipakimbia? Alafu ukifungua sehemu biashara alafu Kila anaekuja anakwambia hii sehemu utapiga sana pesa, hiyo ni alarm ya kukuamsha. Mie mwenyewe Kuna mahari location iko vzr sana sasa wakati wa ufunguzi wa hiyo biashara yangu watu wengi sana walikua wakiniambia hapo nimelenga, mara hapo nitapiga sana pesa, na kauri hizi sio majirani zangu tu ni mpaka wapita njia.Nakumbuka kuna center moja nilikamata sehemu. Kila mtu ananiambia daah hapa mwanangu umeula kwa eneo hili utapiga business mpaka uchoke. Weee..! 😀 Mbata! Mbata! Kofi! Teke! Mtamaa..! Kichwa chini miguu juu hata miezi 6 haikuisha dadek😄