Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Sorry mkuu nilikua maporini huko network shida, kuhusu mtaji wa dagaa hata 500k unaanza kwasababu gunia la debe 10 linarange 180k-250k kutokana na upatikanaji wa dagaa unaweza kuanza hata na gunia mbili kama hupeleki mbali sana ila kama upo vizuri 1m ni mtaji mzuri zaidi, kuhusu usalama visiwani upo tuu cha muhimu fanya kilichokupeleka basi na usimkopeshe mvuvi hela ila biashara ya dagaa kwangu mimi changamoto lilikua somo kama unaanza tafuta kwanza wateja then ndo ingia mzigoni. Mwanza soko lipo kirumba ila pale hakuna biashara kuna madalali wapuuzi sana sikushauri.Kiongozi vp upande wa dagaa kutoka visiwani na kuwaleta mwanza? Hapo naulizia mtaji wa shilingi ngapi? Na sehemu ya kuuzia ukishazifikisha mwanza na ukiwa mgeni ukienda kule visiwani hamna shida au usumbufu unaoweza kukupata?