Ulichukua hatua gani baada ya kugundua umebambikwa mimba/ mtoto?

Kama hizo 30,000 mnaziona ndogo kwanini hampewi na baba zenu wazazi mnawatapeli wanaume?

Wewe ni boya kwa kupiga mjamzito na kuona ni sifa. Ni boya kupiga mwanamke let alone mjamzito.

Yani unataka ulale na mwanamke afu matumizi apewe na Baba yake? Nyie vivulana vya siku hizi vizwazwa sana. Mnakimbia majukumu na kujisifia ujinga tu. Baba yake alimpa akiwa kwao
 

Wakati we hizo 30 unatoa tu za icecream na sio papuchi wala
 
Mbona zijakuelewa vema hapo mwishoni, mwanamke alijifungua ndipo ukagundua mtoto sio wako au ujauzito ulitoka ukiwa na miwzi5 mitatu, story yako mwishoni haijakaa vema.
 
Mbona zijakuelewa vema hapo mwishoni, mwanamke alijifungua ndipo ukagundua mtoto sio wako au ujauzito ulitoka ukiwa na miwzi5 mitatu, story yako mwishoni haijakaa vema.
Nimekuja mbio nikajua umeshabambikwa mtoto nianze kucheka
 
Mimi personally sijawahi ila nakumbuka kuna rafiki yangu alilea mtoto hadi kafika miaka 5 ndipo akapata wasiwasi kutokana na mwenendo wa mwanamke kuwa na kiburi na kufumania mawasiliano ya simu ikabidi azuge amchukue mtoto wakatembee akaenda nae hospital na kupima vinasaba ndipo ikaonekana sio mtoto wake kwa 98% hawana vinasaba vya kufanana.

Kijana alikuja na karatasi hadi kwa bibi mzaa mama wa mtoto yaani mkwe au mama wa mwanamke. Akaja muonyesha ajionee. Binti anapigiwa simu anaanza kuwaka kwann anampeleka mtoto hospital bila ridhaa yake.

Akaitwa kwenye kikao hakutokea anakwepa. Jamaa aliondoka ila dah nilifeel yale maumivu namna alikuwa anajikaza asilie huku macho yamefura kwa hasira na huzuni. Akikumbushia miaka yote hii amehangaika kukata bima, kulipa ada, kuja kumtembelea mtoto kila weekend, kumtoa out kumpeleka sehemu za watoto acheze na wenzake.

Mbaya zaidi tukiwa kwenye hiki kikao mtoto akaingia kutoka shule ameona gari ya baba yake akaja kasi na kumrukia baba yake kama kawaida yake jamaa akajitahidi tu kucheka ili mtoto asijisikie vibaya.

Dah ile moment iliniuma sana hadi leo nikikumbuka huwa kuna huzuni kali sana inanivaa. Mtoto nasikia anamuuliza bibi yake baba atakuja kunichukua twende kutembea kule kwa bibi (akimaanisha bibi mzaa baba yake). Na mtoto anajua kupiga simu kuna siku alichukua simu ya bibi yake akapiga sana namba ya baba yake hadi akapokea wakaongea. Jamaa hiyo kitu inamuuma sana aisee.

Watoto wakike huu ushetani wa uzinifu huwa unazaa sumu kali sana kwenye jamii na madhara yake ni makubwa, mnakuja kuweka laana kwenye koo zenu na watoto wenu.

Shenzi sana. Dah [emoji25]
 
Nimekuja mbio nikajua umeshabambikwa mtoto nianze kucheka
Weeeee me kwanza ili nibambikiwe sijui itokee vipi. Kwanza kanuni ya kwanza sina mahusiano na mtu nisiyemuamini mwenendo wake. Na hadi nijiridhishe sana ndipo tutajikuta kitandani pamoja. Nje ya hapo mitego ya wizi wizi huwa sinasi.
 
Iwekwe sheria tu kuwa mwanamke anapojifungua vipimo vya DNA vichukuliwe hospital na ikigindulika mtoto sio wa muhusika then mwanamke na familia yake walipishwe gharama za matunzo ya mtoto na mwanamke afunguliwe mashitaka mahakamani kifungo miezi sita au fine ya 5milion.

Halafu tuone kama DNA zitasoma tena ujauzito wa kubambikiwa. Ni makusudi tu wanafanya kwasababu hakuna mfumo wa kuwawajibisha. Ila mifumo ya uwajibishaji ikiwekwa mbona hautaona wanawake wakileta michezo na rafu za kitoto tena katika maisha ya wanaume serious.
 
Unaweza kuwa mjanja sana ila mapenz Kuna namna kilamtu kaonja maumivu unapigwa had unajiuliza hiv ni mm huyu nadanganywa kiasi hiki [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2297][emoji2297][emoji2357][emoji2357],unajiuliza mimi kabisa comrade ! Linanikuta jambo..
 
Kuna hizi kesi za baba kulala na mwanae wa kumzaa ( sio baba kubaka mwanae wa kumzaa). Hivi hizi kesi huwa mnafuatilia zinaishia wapi?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maana wazee wa baraza huko wakishasikia maelezo ya mwanaume kesi huwa inafungwa hapo hapo. Maana wanajaribu kupiga hesabu huyu mwanamke alikuwa anajiona mjanja kumbambikia jamaa damu ambayo si yake.

Sasa kibao kimemgeukia mtoto amegeuka mke mwenza na yeye anageuzwa kuwa mkwe. Hayo maumivu yake ni mara mbili ya yule aliyegundua kabambikiwa ujauzito usio wake.

Watoto nao huwa wanajua damu zao, wakishaishi baada ya muda wanajua kabisa huyu sio baba yangu hata usipowaambia maana damu zinakuwa hasiwaki wanapokuwa karibu.

So wanawake mnachokitengeneza kitawagharimu baadae na aibu zinarudi kwenu. Lindeni utu wenu kwa kuwa wawazi. Wanaume hawachezewi akili.
 
Hatimae akawa single maza by choice [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unapigwa kama ngoma, hamna mjanja wa mapenzi kila mtu ana mjanja wake [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Shughuli inaanza unakopenda wewe 100% mwenzio anapenda 40%...Nje kuna mtu ndio anampenda by 100% ila ananyooshwa freshi tu.
Si aondoke sasa.
 
Kumla mtoto (wewe sio baba yake mzazi) wa mwanamke unayeishi nae mwenye umri zaidi ya 18 kama 28 hivi , ni kosa au sio kosa? Maoni yako tafadhali
Kosa kwa mujibu wa sheria ipi kwa mfano?! Kosa ni kumla mtoto chini ya miaka 18, mtoto wako wa kumzaa au mtoto wa ndugu yako wa damu yaani blood relatives, au ndugu yako wa tumbo moja,au ambaye mnashare baba au mama.

Hawa ndio kosa kujihusisha nao kimapenzi sababu ni " incest" crime.
 
Unataka nikutajie jina? Wacha ubishi kuna watu tunawafahamu Wana maambukizi ya HIV na wameoana na wasiokuwa na maambukizi baada ya kufanya yao na mtu wa maabara.
Na Kuna mtoto anakua na kadi tatu za kilinik na Zina wababa tofauti

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 

Kiwi nyeusi [emoji276][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…