Ulifanyaje baada ya kukutana na show mbovu?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ulichukua hatua gani?
Nini kilifanyika hata ukaona, kwamba hiyo show ni mbovu na hujwahi kukutana nayo tangu uyajue mapenzi?
Muafaka ulikuaje sasa baada ya show hiyo mbovu na ya kiwango cha chini sana ya kimapenzi?

nani alikua kikwazo na mzigo kwenye show hiyo mbovu kati yenu?

Mungu Ibariki Tanzania
 
No reforms no election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…