Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤭😀😀😀Ni bunge ?
🤣🤣🤣🤣🙌maswala ya uongozi si kuna majukwaa yake gentleman?![]()
Gentleman,Huyu jamaa na Lukasi dah! Yaani wanampenda mama kuliko anavyojipenda yeye mwenyewe. Ajabu sana!
Ungeanza wewe kutoa maoni yako kwanzaUlichukua hatua gani?
Nini kilifanyika hata ukaona, kwamba hiyo show ni mbovu na hujwahi kukutana nayo tangu uyajue mapenzi?
Muafaka ulikuaje sasa baada ya show hiyo mbovu na ya kiwango cha chini sana ya kimapenzi?
nani alikua kikwazo na mzigo kwenye show hiyo mbovu kati yenu?
Mungu Ibariki Tanzania
Vipi bado tu!Aliyesababisha akiwa mchina tutapigwa sana kunfu sijui itakuaje kama ni mzungu au mhindiView attachment 3250749
🤭Huyu chawa pro max ni mbunge? Ndiye Kibajaji ama?😳
🤣🤣🤣🤣🤣 haha we jamaa una hasira na ccm nazani 80% hawaipend ccm ni vile tu hawana namuna ya kujivika kimvuli cha ccm wapate kituNdo akili zenu zimeishia hapo majizi ya ccm
Nilichukua hatua ya kuuza bandari na kupongezwa nimeupiga mwingi.Ulichukua hatua gani?
Nini kilifanyika hata ukaona, kwamba hiyo show ni mbovu na hujwahi kukutana nayo tangu uyajue mapenzi?
Muafaka ulikuaje sasa baada ya show hiyo mbovu na ya kiwango cha chini sana ya kimapenzi?
nani alikua kikwazo na mzigo kwenye show hiyo mbovu kati yenu?
Mungu Ibariki Tanzania
Ok na mimi sijawahi piabaada ya kupata shuhuda za wadau mballimbali wa masuala ya faragha, nikaona si vibaya kupata uzoefu wenu pia, licha ya kwamba binafsi sijapitia songombingo hiyo ,
feel free gentleman 🐒
Kwa hiyo wewe Mama Samia amaNilichukua hatua ya kuuza bandari na kupongezwa nimeupiga mwingi.
Hapana, Kwani Mama Samia ameuza bandari?Kwa hiyo wewe Mama Samia ama
Haina shida ngoja nifuatilie gentlemanrelax,
na ufuatilie kwa makini sana uzoefu wa wadau, na itakusaiadia sana kupata uzoefu, uelewa na ufahamu wa kutosha ili usiumbuke ukikutana na songombingo la aina hiyo 🐒