princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Muafaka mapenzi yaliendelea.
Mana maisha sio ngono tu na kukamiana! Halafu siku ya kwanza bwana huwa haiamui show ya mtu wanaume wengi siku ya kwanza wanakuaga na wenge hasa waliotoka jela 😅 na hamna kitu wanaume wanaumiaga kama wakishindwa kuwa kwenye kiwango siku ya kwanza ... mimi huwa nawaambiaga mm sio porn star usinimamie kwanza fanya mapenzi sio ngono.