Aisee anatoshaNilibubujikwa na machozi tu.
Mama ametufikia gentleman π¬π¬
πππNi bunge ?Hivi ubunge ulipataje pataje mkuu?
No reforms no electionkwenye starehe kijiko kimefikaje gentleman?
si utateseka sana kutembea na makasiriko moyoni kila mahali?
Wa chama gani?diwani
Mwenzao kapewa hug la taifaHuyu jamaa na Lukasi dah! Yaani wanampenda mama kuliko anavyojipenda yeye mwenyewe. Ajabu sana!
Kichwani kwako kumejaa makandeUlichukua hatua gani?
Nini kilifanyika hata ukaona, kwamba hiyo show ni mbovu na hujwahi kukutana nayo tangu uyajue mapenzi?
Muafaka ulikuaje sasa baada ya show hiyo mbovu na ya kiwango cha chini sana ya kimapenzi?
nani alikua kikwazo na mzigo kwenye show hiyo mbovu kati yenu?
Mungu Ibariki Tanzania
Mkuu unayakosea heshima makandeKichwani kwako kumejaa makande