Ulifanyaje baada ya kukutana na show mbovu?

Huyu jamaa na Lukasi dah! Yaani wanampenda mama kuliko anavyojipenda yeye mwenyewe. Ajabu sana!
Gentleman,
Ni ni muhim sana kuwapenda mama zetu na viongoz wetu wote,, na Zaid sana kama waTanzania wazalendo tupendane pia na itapendeza Zaid πŸ’
 
Ungeanza wewe kutoa maoni yako kwanza
 
Ndo akili zenu zimeishia hapo majizi ya ccm
🀣🀣🀣🀣🀣 haha we jamaa una hasira na ccm nazani 80% hawaipend ccm ni vile tu hawana namuna ya kujivika kimvuli cha ccm wapate kitu
 
Ungeanza wewe kutoa maoni yako kwanza
baada ya kupata shuhuda za wadau mballimbali wa masuala ya faragha, nikaona si vibaya kupata uzoefu wenu pia, licha ya kwamba binafsi sijapitia songombingo hiyo ,

feel free gentleman πŸ’
 
Nilichukua hatua ya kuuza bandari na kupongezwa nimeupiga mwingi.
 
baada ya kupata shuhuda za wadau mballimbali wa masuala ya faragha, nikaona si vibaya kupata uzoefu wenu pia, licha ya kwamba binafsi sijapitia songombingo hiyo ,

feel free gentleman πŸ’
Ok na mimi sijawahi pia
 
Naendelea kusoma comments.
ni muhim sana kupata uzoefu, ufahamu na uelewa wa kutosha juu ya mambo haya ili ikusaidie namna ya kujikwamua utakapokwama kwenye mazingira yanayofanana na hoja πŸ’
 
Ok na mimi sijawahi pia
relax,
na ufuatilie kwa makini sana uzoefu wa wadau, na itakusaiadia sana kupata uzoefu, uelewa na ufahamu wa kutosha ili usiumbuke ukikutana na songombingo la aina hiyo πŸ’
 
relax,
na ufuatilie kwa makini sana uzoefu wa wadau, na itakusaiadia sana kupata uzoefu, uelewa na ufahamu wa kutosha ili usiumbuke ukikutana na songombingo la aina hiyo πŸ’
Haina shida ngoja nifuatilie gentleman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…