stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
sema niliomba kazi za takukuru ila naisi kigezo cha umri ndo kimenipiga knock out directly maana nagonga 30 mwaka huu
Usione aibu
Tatizo unaona aibu wataniangaliaje? Ndio maana unakufa hivi unajiona sababu ya kuona aibu, watanisema hivi na vile aisee aibu yako ndio umasikini wako
Sogea sehemu kuna kiwanda cha mbao hapo omba kazi ya kuranda mbao au kusafirisha Mizigo ya mbao kwenda site hata kwa kuzibeba kichwani