Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Bora wewe ulipewa nafasi hiyo ya kubeba.NA UMRI UNAENDA LIFE HALISOMI...NILIJARIBU MISHE ZA KUBEBA ZEGE.........LAKINI SIKURUDI SIKU YA PILI MAANA NILIAMKA NUSU MFUU...............MISHE ZA NYANYA KUCHUMA ASEEEEEEEEE THEN UNALIWEKA KICHWANI UNAPELEKA KWENYE LORY ASEEEEEEEEEEEEEE KUMBE MAISHA YA KUSOMA /KALAMU NI TOFAUTI NA MAISHA YA KUTAFUTA
Mimi nilienda kwenye kufyatua tofali.
Niliishia kupewa buku na kuambiwa kanywe chai.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana ningeharibu matofali yao kwa hekima ile jamaa aliamua kufanya vile.
Ningekuwa karibu tena na ile sehemu, kuna siku ningeenda kumuungisha kwenye tofali zake tena akiwepo huyo jamaa ili atambue kuwa NYAKATI NGUMU HUWA HAZIDUMU