Ulifanyaje kipindi huna hela, yaani maisha yamekupiga total knock out?

Ulifanyaje kipindi huna hela, yaani maisha yamekupiga total knock out?

Issue nipo Moshi, huku hakunaga hizo bolt bin uber, huku ni bajaj mostly na hata kisela kisela ni ngumu kugusa chombo cha mtu, unaweza kung'utwa mpaka usahau kuwa una njaaa.
Mkuu we tafuta vifaa vya kupandia mlima anza kuzunguka kwenye makampuni ya kupandisha watalii.
 
we Jamaa, hata mm niko Moshi. kweli mambo ni tyte na hamna namna lazima tuishi. ila njoo Manyema huku tujichanganye utakosa pesa lakini jioni una mazaga rundo ya msosi.
 
NA UMRI UNAENDA LIFE HALISOMI...NILIJARIBU MISHE ZA KUBEBA ZEGE.........LAKINI SIKURUDI SIKU YA PILI MAANA NILIAMKA NUSU MFUU...............MISHE ZA NYANYA KUCHUMA ASEEEEEEEEE THEN UNALIWEKA KICHWANI UNAPELEKA KWENYE LORY ASEEEEEEEEEEEEEE KUMBE MAISHA YA KUSOMA /KALAMU NI TOFAUTI NA MAISHA YA KUTAFUTA
Maisha siyo mstari myoofu na kama hauna uvumilivu, hekima na busara utajikuta unafanya mambo maovu ili mkono uende kinywani.
Maisha siyo rahisi kama tunavyofikiria
 
Back
Top Bottom