Ulifanyaje kipindi huna hela, yaani maisha yamekupiga total knock out?

Pole mkuu kwa changamoto hiyo....Litapita tu cha msingi usikate tamaa ,tafuta connection kutoka kwa watu.
 
hatariiiiiiiiiiiiii
Mkuu zunguka viwandani utapata hela ya kula. Ila kubwa zaidi angalia kitu unachoweza kukifanya exceptionally.

Hz nyakati ngumu za kiza huwa zipo tu. Kikubwa ni subira na tumaini ukijua kuwa giza likiwa totoro sana ujue kumekaribia kukucha
 
Weeeeh! Sasa nguvu mnatoa wapi 😳😳😳😳
Mwanaume ana nguvu mda wote ili mladi amekula, unachotakiwa mwanamke ni kumkumbusha tu kwamba upo kwa ajili yake hata wakati huo mgumu,akikumbuka na stress zinagoma mda huo ,Sasa nyie mnakuwaga tatizo la pili kwenye tatizo la kwanza,

Tatizo langu la kwanza linazidi ninapogundua hata ambae namtegemea anifaliji amekuwa tatizo Tena,Sina pesa na show hunipi!hamna maana
 
Sasa sie hamu tunatoa wapi wakati nyumbani hapaeleweki 🤷🤷🤷
 
Msikilize mumeo,mfariji,akipata amani hamu atakutafutia, uki-ridhika na yeye akaridhika utaona anavopambana kutafuta pesa,

Kwa mapenzi tu unaweza kumtuma mumeo akaibe na akaenda,

Mumeo akiishiwa punguza Kununa bila sababu, sisi tukiwa hatuna pesa na wewe unanuna ,game hutoi Huwa tunakimbia familia mnabaki kuwaita ITV kwa mahojiano
 
We kuweza!!
 
Wakuu embu tujuzeni ulipitiaje kipindi ukiwa huna hela maisha yamekupiga total knock out and huna kula kulala ya uhakika?

Mie nimejaribu mishe za udalali ila hailipi kabisaa na ni majanga bin vuuu. So how do / did you cope with this situation?

Mungu akuvushe, tumepita hapo tukiwa na watoto na tukazarauliwa, na kuvuka, na sasa tu msaada kwa kundi kubwa, Kama mimi niliweza, wewe unaweza.
 
Back
Top Bottom