Ulifanyaje kipindi huna hela, yaani maisha yamekupiga total knock out?

Ulifanyaje kipindi huna hela, yaani maisha yamekupiga total knock out?

dah na MO DEWJi anajenga kiwanda hapo pasua lakini still mpaka connection kuingia ndaniii


dah ngoja niingie soweto kuliko na wana ambao ni madalali wa nyumba nikasikiilizie maana ni na wapelegeaga wateja wa nyumba then napata nusu ya hela ya udalali aseeee
 
Kufeli once sio ndiyo kufeli maisha amkeni waliofanikiwa nwengi wamefeli sana ila huwezi juwe mpaka uwaulize, ukweli ni kwamba msoto ndiyo chachu ya wewe kutoka hapo, msoto unakujengea kuwa mtu sahihi kinachowaangusha vijana wengi ni wanataka kazi za connection, connection ukiipata sawa ukikosa pamabana
 
Tumepitamo.....
Mpaka nikakutana na mwanamke hana uchi ni katundu ka mkojo tu......
Balaa😐
weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hiii kaliiiiiiiiiiiiii weka uzii mzeeeeeeeee
 
Wakuu embu tujuzeni ulipitiaje kipindi ukiwa huna hela maisha yamekupiga total knock out and huna kula kulala ya uhakika?

Mie nimejaribu mishe za udalali ila hailipi kabisaa na ni majanga bin vuuu. So how do / did you cope with this situation?
niliondoa woga, aibu na moyo wa kutokata tamaa, nikajipanga na kutafakari sana nifanye kipi, kisha nikauvaa ujasiri, kuwa muwazi, mkweli na mwenye bidii....

kwa kumtanguliza Mungu mbele anionyeshe njia nilianza kuiweka changamoto yangu wazi kwa wazazi na watu waliofanikiwa nawaona kuchota mbinu, maarifa na uzoefu wa kutoka kwenye hali ngumu iliyopo....

na hapo sikukosa kutoka na kitu mfukoni achilia mbali ideas, na ndio mpaka wa Leo nipo apa nasonga mbele mpaka nahilaumu nilikua wapi siku zote 🐒

hata hivyo sio kwamba hakuna changamoto, zipo ila zinakupata wakati tayari benki kuna kitita cha maana ila una kiona kidogo sana 🐒

ustahimilivu, Subra, bidii, shukrani kwa Mungu ni miongoni mwa siri muhimu sana katika kutoka kimaisha 🐒
 
Back
Top Bottom