Simba ungau!Muna ooh simba
hahahah, ID yangu nilipewa na mwalimu wangu nikiwa O level, na hii ilitokana na kupenda kucriticise na kumobilize wenzangu linapotokea swala la mgomo baridi.Ungeanza wewe kwanza kuielezea hiyo ID yako ingependeza zaidi hii thread yako.
lugha gani iyo?mie halina maana yyt ile ni majina tu ya kilugha! napenda traditional names