Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

Embu jiulize tangu umeanza kutafuta pesa mpaka hapo ulipo je?pesa ama rasilimali ulizonazo zinalingana na muda ambao umetumia ? Mfano kwa siku unapata elfu kumi je ? Elfu kumi yoote niyako? Au kuna wengine wengi wanaitegemea wakiwepo wazazi watoto ndugu jamaa vibaka serikali NK NK? Kama unafika wakati unapata pesa lakini hunywi japo hata soda moja na pesa inaishia mikononi kwa watu unazani wewe sio SLAVE?
 
Yangu nakuja tena ina maana ukijibu pumba ntakuja tena kukuumbua,ukinitukana ntakuja tena
 
Bleeding souls! Expreses itself clearly ! cries of innocent beings! Lamentations of the oppresed ones!
 
Habari wana ndugu wa Jf,
Kwa muda mdogo niliokuwa hapa Jf nimekuwa nikishuhudia user IDs (fictitious names za watumiaji wa Jf) tofauti tofauti na nikaona ni vema niulize ni nini hasa sababu ya kutumia ID unayotumia wewe mwanaJF.
is it a nickname, just a random name au lina maana flan kwako?

Curiousity.
 
Kipanga=jamii
gwakipanga=mwanajamii wa jamii forum/mwanakijiji wa jf
 
Mods kuna uzi wa Mhenga(BAK) tangu 2007 unazungumzia hii mada, ufukueni halafu muunganishe na huu tujue ID za wahenga zina maana gani
 
Back
Top Bottom