Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,646
Embu jiulize tangu umeanza kutafuta pesa mpaka hapo ulipo je?pesa ama rasilimali ulizonazo zinalingana na muda ambao umetumia ? Mfano kwa siku unapata elfu kumi je ? Elfu kumi yoote niyako? Au kuna wengine wengi wanaitegemea wakiwepo wazazi watoto ndugu jamaa vibaka serikali NK NK? Kama unafika wakati unapata pesa lakini hunywi japo hata soda moja na pesa inaishia mikononi kwa watu unazani wewe sio SLAVE?