jogoolakigoma. said:Mkuu kwani hili neno lina maana gani 'tutigite'...na kwanini wewe hutigiti Jogoo la kigoma?
Tutigite-tucheze
Wi shavu ameneke-mwenye hasira apasuke.
Mr Q ki msingi, nimeathiriwa na hizi stori za kijasusi. Ambapo watu hujipachika majina kama Mr x, na mengineyo.(ikiwa ni harakati za kuficha majina yao halisi)
Sikuwa na sababu zaidi ktk uchaguzi wa username zaidi ya kuchukuwa jina mojawapo ya wahusika ktk stori hizo.
Sure kina Aspirin, kongosho, Lara1,mtambuzi,Father of all,Fazaa,erickb52,Cacico,,hawa wote majina yao yana maana gani?
Mkuu wangu mi nimezaliwa kwa ajili ya kuwapunguzia watu (hasa wanawake) maumivu hasa ya kichwa yanayosababishwa na mastress makazini na majumbani. Wakisoma posts zangu na kunigongea like, maumivu yanapungua taratiibu! Ningongee like kama huamini. Uzuri wa tiba yangu haina side effect na inaambatana na ukaguzi kwa mabinti...[mkuu sina mbavu kwa kweli, umenipa a very definite definition of your username!
Asprin said:Mkuu wangu mi nimezaliwa kwa ajili ya kuwapunguzia watu (hasa wanawake) maumivu hasa ya kichwa yanayosababishwa na mastress makazini na majumbani. Wakisoma posts zangu na kunigongea like, maumivu yanapungua taratiibu! Ningongee like kama huamini. Uzuri wa tiba yangu haina side effect na inaambatana na ukaguzi kwa mabinti...[mkuu sina mbavu kwa kweli, umenipa a very definite definition of your username!
Langu sababu ya tumia ID yangu nilishaitoa fuatili post zangu.
Baada ya kugundua wengi humu mnatalk nonsense+pumba za kutosha ikabidi nije Mkare_wenu to put everything clear
Mwenzako mmoja alikua kama wewe ila mwisho wa siku alikimbia na chuppi mkononi!
Chezea mtanange wangu wewe!
Mkare_wenu said:[Naamini utakuwa mpenzi wa bongo fleva na kati ya wimbo ulioupenda ni ule wa P-Unit .Ndiyo maana upo tofauti na Jaguar anayeamini kuishi vizuri na watu na kukumbuka maadili yanayotolewa na wazazi...Wapenda bongo fleva wengi wanajiona wako juu ya wenzao na hakuna tatizo vile binadamu tunafanana lakini hatuendani.