Ni hali ya kuamini unachoamini hata kama hauko sahihiMimi yangu hata sijui nisaidie
IliKatika kutafakari nimegundua kila ID inayotumika hapa jamii fulani ina maana fulani ambayo mtumiaji ameilenga au inawakilisha kitu fulani. Kwa mfano ID yangu ni MTINI huu ni mti ambao umetumika sana katika biblia na kwa lugha ya rohoni inaonyesha majira ambayo mwanadamu anapaswa kuwa makini sana kufuatilia.
Naamini kila mmoja akitupa maana ya ID yake kuna kitu cha kujenga tunaweza kukipata
Jukwaa gani mkuuHii mada ishawahi tolewa
Sawa mangiTereweni
... ombeni
Kama yesu alivyosema kesheni mkiomba, basi mm nawahimiza muombe[emoji5]
NDO MAANA YA ID YAKO..??Hii mada ishawahi tolewa
Kitu chaga hiki, yalllaahTereweni
... ombeni
Kama yesu alivyosema kesheni mkiomba, basi mm nawahimiza muombe[emoji5]
Jukwa Hili hili kijana, yalllaaaahJukwaa gani mkuu
Kipi,kama sio umbea na kutaka kujua siri za watu.Katika kutafakari nimegundua kila ID inayotumika hapa jamii fulani ina maana fulani ambayo mtumiaji ameilenga au inawakilisha kitu fulani. Kwa mfano ID yangu ni MTINI huu ni mti ambao umetumika sana katika biblia na kwa lugha ya rohoni inaonyesha majira ambayo mwanadamu anapaswa kuwa makini sana kufuatilia.
Naamini kila mmoja akitupa maana ya ID yake kuna kitu cha kujenga tunaweza kukipata
Wewe utakuwa unaona mawenge wewe!Mimi yangu hata sijui nisaidie
da hii imenivutia sana na kunitia moyoUliza bei...kirefu uliza bei usiogope ukubwa wa samaki....maana halisi ni kuwa katika maisha pambana wala usikate tamaa mambo yanapokuwa magumu