Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,492
- 2,361
Katika kutafakari nimegundua kila ID inayotumika hapa jamii fulani ina maana fulani ambayo mtumiaji ameilenga au inawakilisha kitu fulani. Kwa mfano ID yangu ni MTINI huu ni mti ambao umetumika sana katika biblia na kwa lugha ya rohoni inaonyesha majira ambayo mwanadamu anapaswa kuwa makini sana kufuatilia.
Naamini kila mmoja akitupa maana ya ID yake kuna kitu cha kujenga tunaweza kukipata
Naamini kila mmoja akitupa maana ya ID yake kuna kitu cha kujenga tunaweza kukipata