Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Nyie mnaojiona wasomi na wajuaji ndio wachawi nambari moja, uku adharani huwa mnajifanya kuupinga ushirikina kumbe gizani ndizo kazi zenu.
Hakuna watu washirikina kama hawa wasomi na wanaojiita wamestaarabika hawa ndio washenzi kuliko hata hao wajinga, ukitaka ushahidi, nenda kwa waganga utaona wateja wao wakuu ni ninyi wasomi na wajuaji wa mambo mnaoficha tabia zenu kupitia ubishi ubishi.
Ushirikina hauwezi kuzimwa kwa namna mnayoitaka ninyi bali elimu ambayo si hiyo mliyonayo ninyi vilaza wa shule za mkoloni.
Nikipinga uwepo wa Mungu nakua Mungu? Utaanza kuniabudu ๐ Nyie waamini ushirikina ni empty set kabisa can't reason kabisa ndo maana mnaibiwa kiboya. Smh