Ulijenga nyumba yako ya kwanza ukiwa na umri gani ?

Ulijenga nyumba yako ya kwanza ukiwa na umri gani ?

Umri chini ya 20 ila kwa hela ambayo sikuitolea jasho, ila ilikuja kama zali wakati nina mawazo sahihi pamoja na kuwa na umri mdogo,

Ila ule mjengo wa jasho langu kuujenga ulifuatia miaka mingi baadae pamoja na kuingiza hela ya maana kwa muda mrefu

Nahisi ukiwa na nyumba moja kuridhika huwa ni kwingi kwa baadhi ya watu
 
Ilikuaje ukajenga ?? Kipato cha kudunduliza

Tupeni mbinu

Ulifafanyeje ?.
Mimi nyumba ya kwanza nilijenga na miaka 26,ipo mikocheni nyuma ya tpdc na ni ya gorofa 2,najua watu watashangaa kwa kuandika gorofa badala ya ghorofa,kiswahili sanifu jumba zima linaitwa gorofa,lakini unapozitaja kwa urefu wake wa kwenda juu ndio unasema ghorofa ya kwanza,ya pili au ya tatu.Kuhusu nilijengaje nikipata fursa nitaelezea nilivyoijenga.Kwa sasa nimeikodisha nyumba hiyo
 
Yaani nitoe hela yangu kununua michanga???

Kupanga ni raha kuliko kujenga.

Serikali inakubrainwash kujenga uwe na permanent settlement, ili usiwe threat kwao.

Hata mkopo unapewa kirahisi tu ukishajenga, wanajua hili puuzi tunalikopesha lakini halina ujanja wa kukimbia, nyumba yake ipo.

Ndio maana hata mahakamani kwenye kipengele cha dhamana wanapendaga sana neno MALI ISIYOHAMISHIKA, wanajua tu mpuuzi akishaweka nyumba ujanja hana

Ukipanga hata ukigombana na jiran unahama, imagine umejenga na jirani kajenga halafu mgombane.
 
Yaani nitoe hela yangu kununua michanga???

Kupanga ni raha kuliko kujenga.

Serikali inakubrainwash kujenga ili uwe na permanent settlement, ili usiwe threat kwao.

Ukipanga hata ukigombana na jiran unahama, imagine umejenga na jirani kajenga halafu mgombane
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😳
 
Back
Top Bottom