Yote kwa yote😀😀Hiyo huduma kiboko
We filter muhimu,Kisu wap selfie za filter zinawachanganya 😂😂
Shida nn mkuuKuna tofauti wa mjini na kijijini, wa vijijini Huwa wanawahi kujenga nyumba ....wa mjini Hadi ajenge ni pale umri umesogea sana, pia katika Kila mkoa kuna wale wazawa na watu wa kuja....kuna kundi Huwa linaogopa sana maisha linakimbilia kujenga...kundi lenye uhakika wa pesa wengine huchelewa kujenga....hasa wafanyabiashara. Ila mm nilijenga nikiwa 28 na sikupaua😂😂nikaachana nayo nikaenda mkoa mwengine nikajenga tena nikatulia tuli ....huko kwengine Hadi Leo sijishughulishi kumalizia😀😀
🤪Shida nn mkuu
Unaogopa uchawi au??
Umri wa kula bia wewe unawaza nyumba na gari, kwani unashida gani?Mimi naona umri unaenda tuu mpaka sasa nakaribia 25 sina nyumba wala.gari daaah kweli mi ni mzembe..
Ila hili swali tumuulize mtibeli...
Khazi wewe ushajipata ndo mana haya mambo huyawazi ettUmri wa kula bia wewe unawaza nyumba na gari, kwani unashida gani?
KivpMimi naishi Kama wahindi kwa sasa.