Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Ukinipga nakupa kazi 😂Naitisha pambano jamaa nataka nikunyooshe
Ukinipga nakupa kazi 😂Naitisha pambano jamaa nataka nikunyooshe
Ama sindivyoYa kwanza at 26
Ya pili at 40
Usikate tamaa. Mimi bro wako nina miaka 47 sijawahi endesha gari yangu na sina nyumba, ila nina viwanjaMimi naona umri unaenda tuu mpaka sasa nakaribia 25 sina nyumba wala.gari daaah kweli mi ni mzembe..
Ila hili swali tumuulize mtibeli...
Duuuh kweli maisha ni fumboUsikate tamaa. Mimi bro wako nina miaka 47 sijawahi endesha gari yangu na sina nyumba, ila nina viwanja
Hauna nyingine bado 😄32, ila ndiyo hiyo hiyo😂
Ila pamoja na majengo yale makubwa ila wanalqla chumba kimoja kwenye kitanda
Imekuwa kama nilichimbia baraka zangu zote nilipojenga ile nyumba,kila kitu kimekwama. Najuta wakati mwingineHauna nyingine bado 😄
21yrIlikuaje ukajenga ?? Kipato cha kudunduliza
Tupeni mbinu
Ulifafanyeje ?.
Una viwanja vingapi?Usikate tamaa. Mimi bro wako nina miaka 47 sijawahi endesha gari yangu na sina nyumba, ila nina viwanja
Mmmhh we leo si umeleta uzi kwamba huna nyumba.?20 Nili nunua nika imalizia,hela za urithi
Kaka as long as you feel proud,basi ndio nyumbani.At 30's early
Feel so blessed
Sehem ya Kulala na kupumzisha fuvu
Yaani nimejifunza kushukuru Kwa chochote ninacho barikiwaKaka as long as you feel proud,basi ndio nyumbani.
Miaka 55.Ilikuaje ukajenga ?? Kipato cha kudunduliza
Tupeni mbinu
Ulifafanyeje ?.