Ulijenga nyumba yako ya kwanza ukiwa na umri gani ?

Ulijenga nyumba yako ya kwanza ukiwa na umri gani ?

Mimi nilijenga, mvua ilipokuja ikabomoa. Sikupata kitu.
 
Yaani nitoe hela yangu kununua michanga???

Kupanga ni raha kuliko kujenga.

Serikali inakubrainwash kujenga uwe na permanent settlement, ili usiwe threat kwao.

Hata mkopo unapewa kirahisi tu ukishajenga, wanajua hili puuzi tunalikopesha lakini halina ujanja wa kukimbia, nyumba yake ipo.

Ndio maana hata mahakamani kwenye kipengele cha dhamana wanapendaga sana neno MALI ISIYOHAMISHIKA, wanajua tu mpuuzi akishaweka nyumba ujanja hana

Ukipanga hata ukigombana na jiran unahama, imagine umejenga na jirani kajenga halafu mgombane.
😂😂😂
 
Miaka 30.kipato cha kudunduliza ndani ya miaka miwili nyuma.nilichukia kupanga ikanihamasisha niwe na ya kwangu.nilianza kiwanja,matofari,bati,madirisha kisha milango,cement na hatimaye fundi.siku nilipoanza kuijenga iliisha ndani ya mwezi nikaingia.kujenga nyumba sio mchezo ni maajaliwa Mitihani kama yote
 
26 years nilijenga gheto
Nililifunga nikaendelea kupanga niliogopa sana totozi zingekatalia kwenye mjengo wangu ila baada ya kuoa ndio nikahamia sasa nikiwa na amani ya moyo
Ila kwa sasa najiapanga kujenga nyumba sasa
 
SIpangiwuli maisha mkuu..
Takutukana. Au unataka uone upande wangu wa pili
Mm siogop matusi, kama kuitwa senge, sjui matrakol, sijui k, mara sjui kuliwa aaah em tulia Babu, njoo tuzichape uwe mvumilivu nna maneno ambayo kama huna moyo wa subra utalia
 
Back
Top Bottom