Vipi uliporudiMiaka 18 nilipomaliza form four ilikuwa bati 12, single room lilikuwa geto kweli mziki mkubwa nilipoenda advance nikalitia kufuli
Nikajua unataka pesa ya kula kumbe pombe komaa!Umri umeenda sasa, Naishi kwa Mama mwenye nyumba... No house, No plot nakula za kichwa tu life linanichapa sio kitoto.
Mwenye buku teni la karibu hapo walau nipate Kvant ndogo.
Yes nilikuwa Narudi likizo hadi mwaka wa pili nikiwa chuo likakosa utunzaji mlango ukaaribika kutoka na maji ila bado lipo limegeuzwa stoo sasaVipi uliporudi
Nataka nijaribu Pombe mkuu maana mawazo yanazidi maarifa.😕Nikajua unataka pesa ya kula kumbe pombe komaa!
Basi nikajua ulijenga kumbe maskaniYes nilikuwa Narudi likizo hadi mwaka wa pili nikiwa chuo likakosa utunzaji mlango ukaaribika kutoka na maji ila bado lipo limegeuzwa stoo sasa
This has made my day,😄😄😄Subiri nimuulize shemeji alijenga nyumba yetu akiwa na umri gani.
We wa kishua hatuhitaji maoni yako.2009, Nilikua na miaka 27
Life starts at 40.Mimi naona umri unaenda tuu mpaka sasa nakatibia 25 sina nyumba wala.gari daaah kweli mi ni mzembe..
Ila hili swali tumuulize mtibeli...
Safi Sana Muhasibu me naomba nisogee hapo.Miaka 20 ni vyumba viwil na sebule baadhi ya vitu vilikuwepo madirisha na tofali za kuchoma za kuanzia zikaishoa kati na bat 10 vingine nilipambana
Sio nyumba ni pa kuishi 😀😀