G
30.Ilikuaje ukajenga ?? Kipato cha kudunduliza
Tupeni mbinu
Ulifafanyeje ?.
Wengi tuna sehemu ya kuishi...Kuna kujenga nyumba na kuna kujenga sehemu ya kuishi
SafiiiiiNina miaka 26 nategemea kumalizia soon.
Mimi nyumba ya kwanza nilijenga na miaka 26,ipo mikocheni nyuma ya tpdc na ni ya gorofa 2,najua watu watashangaa kwa kuandika gorofa badala ya ghorofa,kiswahili sanifu jumba zima linaitwa gorofa,lakini unapozitaja kwa urefu wake wa kwenda juu ndio unasema ghorofa ya kwanza,ya pili au ya tatu.Kuhusu nilijengaje nikipata fursa nitaelezea nilivyoijenga.Kwa sasa nimeikodisha nyumba hiyoIlikuaje ukajenga ?? Kipato cha kudunduliza
Tupeni mbinu
Ulifafanyeje ?.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😳Yaani nitoe hela yangu kununua michanga???
Kupanga ni raha kuliko kujenga.
Serikali inakubrainwash kujenga ili uwe na permanent settlement, ili usiwe threat kwao.
Ukipanga hata ukigombana na jiran unahama, imagine umejenga na jirani kajenga halafu mgombane