Chai kivipi wakati mwangangu ana miaka 12 yuko form one means mwakani November atafikisha 13 akiwa anaikimbia form two, au unadhani watoto wa sasa wanasoma wakiwa wazee kama enzi zetu, second born wangu ana miaka 7 mwaka huu amengia class 3Miaka 13 form two? Sio chai hii
Nitafutie mshangazi kitaani kwenuChai kivipi wakati mwangangu ana miaka 12 yuko form one means mwakani November atafikisha 13 akiwa anaikimbia form two, au unadhani watoto wa sasa wanasoma wakiwa wazee kama enzi zetu, second born wangu ana miaka 7 mwaka huu amengia class 3
KInachokusumbuwa ni wivu na ujinga, msiba utafika nyumbani kwako kabla ya nyumbani kwangu. Pumbavu na ushamba wako wa kizamaniUnajiandalia msiba hapo nyumbani stupid father
Haaa haaa mkuu huku hakuna mashangaziNitafutie mshangazi kitaani kwenu
Anadhani watoto wa sasa wanasoma wakiwa wazee kama sisi. Mimi nilianza class one huko kijijini nikiwa na miaka 9 kwakuwa mkono wa kushoto haukuwa unafika sikio la kulia kupitia kichwani, nashukuru Mungu huo ujinga kwasasa haupoMwenzio Tumbili wa mjini anabisha mtoto wa miaka 13 kuwa form 2. Sasa kama wako wa miaka 12 ni form 1 akiwa form 2 atakuwa na miaka mingapi?
Mwanangu alianza shule akiwa na miaka 5 na sasa anamiaka 13 yupo form 2 ila jamaa yako anabisha na anasema ni chai. 😀😀😃😄
Ulikua na kichwa kigumu, pole yako!Basi nilichelewa shule kwa umri wa 13 nilikua la sita
Sass hivi familia zenye magari zimeongezeka sana, zamani mtaani familia zenye gari za kuhesabu, huko mawilani kwetu ndio kabisaaa wilaya nzima ukitoa gari za serikali na mashirika ya dini unabakisha gari chache sana za binafsi. So kwa sasa watoto chance za kujua kuendesha mapema ni kubwa zaidiNikiwa na 24 nilikuwa naendesha, lakini mwanangu ana miaka 12 yuko kidato cha kwanza anaendesha vizuri tu anatupeleka kanisani na kurudi pia shuleni kwa wadogo zake, ila umri wa leseni bado hivyo mjini haendi
Nataka nyapiHaaa haaa mkuu huku hakuna mashangazi
Mhh we dada au basiUlikua na kichwa kigumu, pole yako!
Leta na maandazi sasaKipindi naenda kufanya interview ya kujiunga form 1, nikiwa nje kwenye foleni gari likaingia linaendeshwa na mtoto na yeye kaja kufanya interview.
Tulimshangaa sana! Tulivyojiunga nikamuuliza lile gari alieneaje akaniambia anaekaga mto kwenye kiti.
Unaenda kumuua huyo mtoto kwa ulimbukeni ba ushamba,miaka 12 ni mdogo sana kuendesha chombo cha moto,hakika utamuua usipozingatia huu ushauriKInachokusumbuwa ni wivu na ujinga, msiba utafika nyumbani kwako kabla ya nyumbani kwangu. Pumbavu na ushamba wako wa kizamani
HakikaSass hivi familia zenye magari zimeongezeka sana, zamani mtaani familia zenye gari za kuhesabu, huko mawilani kwetu ndio kabisaaa wilaya nzima ukitoa gari za serikali na mashirika ya dini unabakisha gari chache sana za binafsi. So kwa sasa watoto chance za kujua kuendesha mapema ni kubwa zaidi
Zingatia nilichokujibu, msiba utaingia nyumbani kwako kabla ya nyumbani kwangu. Tunza maneno yangu, utalia msiba kwako kabla nyumbani kwako, na hakika utalia kilio cha mbwa huku ukiwa umetizama juu.Unaenda kumuua huyo mtoto kwa ulimbukeni ba ushamba,miaka 12 ni mdogo sana kuendesha chombo cha moto,hakika utamuua usipozingatia huu ushauri
Wewe mwezi hutoboi utakuja kuleta uzi hapa kwa kupoteza mtoto naomba uscreen shot huu uzi,mwezi huu hutoboiZingatia nilichokujibu, msiba utaingia nyumbani kwako kabla ya nyumbani kwangu. Tunza maneno yangu, utalia msiba kwako kabla nyumbani kwako, na hakika utalia kilio cha mbwa huku ukiwa umetizama juu.
Umri huu naitafuta 50 yrs nikawe limbukeni wa magari. Pole kwakuwa kama wazee wa zamani akienda kazini anaficha mpaka remote ya TV. Punguza hasira na chuki uishi maisha marefu. Kwa ujinga wako unadhani kuna mzazi anapenda kumpoteza mtoto wake?Unaenda kumuua huyo mtoto kwa ulimbukeni ba ushamba,miaka 12 ni mdogo sana kuendesha chombo cha moto,hakika utamuua usipozingatia huu ushauri
PatheticNikiwa na 24 nilikuwa naendesha, lakini mwanangu ana miaka 12 yuko kidato cha kwanza anaendesha vizuri tu anatupeleka kanisani na kurudi pia shuleni kwa wadogo zake, ila umri wa leseni bado hivyo mjini haendi