Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Ni haki yako, kwa sababu una Uhuru wa kutoa maoni.Nimecheka kwa dharau hahahha
Asante Sana mkuu, turudi nyuma kidogo Baada ya kupewa taarifa.Nilikuwa na mixed feelings, shauku na uoga.
Nilipata bahati ya kuwepo mtoto alipokuwa anazaliwa na kupata fursa ya kumbeba alipofutwa tu. Kwa mara ya kwanza nadhani nilitokwa na machozi ya furaha, yani nilijikuta machozi tu yananitoka.
Ilikuwa ni hisia nzuri mno.
Ila naimani soon uta jiona, ni mmoja wa wapuuzi tu..Ni haki yako, kwa sababu una Uhuru wa kutoa maoni.
Ila naimani soon uta jiona, ni mmoja wa wapuuzi tu..
Hongera MkuuHabari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari.
Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa.
Kuna kipi Cha kuji funza zaidi , ili kuwa mzazi bora?
1. Changamoto mlizo kumbana nazo, kabla na baada ya kuwa mzazi. (Hii kwa wanaume na Wanawake, ita pendeza mki elezea kwa kina zaidi).
2. Una ushauri upi kwa vijana kuhusu suala hilo la kuwa mzazi.
3. Kwa mwanaume ni Mambo yapi ya kuzingatia zaidi, hasa Baada ya kupata taarifa hizo.
I mean no malice to nobody.
View attachment 2967184View attachment 2967185
Binafsi nijiskia vibaya maana kutengenza familia isiyo tarajiwa kama mliooana inakua kipengele kingineHabari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari.
Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa.
Kuna kipi Cha kuji funza zaidi , ili kuwa mzazi bora?
1. Changamoto mlizo kumbana nazo, kabla na baada ya kuwa mzazi. (Hii kwa wanaume na Wanawake, ita pendeza mki elezea kwa kina zaidi).
2. Una ushauri upi kwa vijana kuhusu suala hilo la kuwa mzazi.
3. Kwa mwanaume ni Mambo yapi ya kuzingatia zaidi, hasa Baada ya kupata taarifa hizo.
I mean no malice to nobody.
View attachment 2967184View attachment 2967185
Kumbe bado sadari, nataka nipate mafunzo Hapa.siku nikiitwa baba nitafurahi sana ila nitalia pia maana kudeka kwangu ndo kutaisha
Tulipoteza mimba mbili kabla ya hiyo ya 3. Miezi ya mwanzo ilikuwa na uoga mwingi sana kuhisi nayo itapotea.Asante Sana mkuu, turudi nyuma kidogo Baada ya kupewa taarifa.
Kuwa shemeji yetu ana mimba, hali ili kuwaje upande wako??
Hahaha, halafu nili kusahau kaka Ivan Stepanov dah na imagine ulivyo kuwa na wenge😃.Supplimentary yangu ya kwanza chuoni ilikua ninkwasababu hii hii, siku naingia kupiga final exam ya visual basic programming ndio siku nimepigiwa simu my girl kapata uchungu kakimbizwa hospital.
- hofu
- was was
- ile feeling kwamba, "itakuaje?"
Mtihan nilikua naona maruwe ruwe tuu
Well said bro.Nilitambua sasa nimeleta kiumbe kipya duniani maisha yake ni wajibu wangu kuyatengeneza na kumwandalia kesho yake .
Ukipata taarifa umempa binti ujauzito , hakuna sababu ya kuuliza uliza ni yangu ama ni yake wewe fungua account weka pesa ya mtoto na mama yake .
Huku itarajia kwanini??, au ndo ulikuwa na mpango wa hit and run tu??Binafsi nijiskia vibaya maana kutengenza familia isiyo tarajiwa kama mliooana inakua kipengele kingine