passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Mosi, nilikuwa na furaha imechanganyika na uoga wa kutosha il
hisia haieleweki
Pili, mke pindi anajifungua nilikuwepo. Kutoka pale nikaelewa utofauti wa mtu unpompa “cheo” cha mke na mwanmke mwingine tu.
Tatu, nilipojua ni mtoto wakiume hapa ndipo nilipochanganyikiwa zaidi, mara nyingi mke wangu alikiwa akisema huyu dume ila mimi nikawa nasema jike. Na c ndani kumejaa midoli niliyokuwa nanunua na yeye alikuwa akinunua matoy ya kiume.nikapata mtu wa kuendeleza ukoo maana kwetu nimezaliwa wakiume peke yangu.