Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

Mosi, nilikuwa na furaha imechanganyika na uoga wa kutosha il
hisia haieleweki

Pili, mke pindi anajifungua nilikuwepo. Kutoka pale nikaelewa utofauti wa mtu unpompa “cheo” cha mke na mwanmke mwingine tu.

Tatu, nilipojua ni mtoto wakiume hapa ndipo nilipochanganyikiwa zaidi, mara nyingi mke wangu alikiwa akisema huyu dume ila mimi nikawa nasema jike. Na c ndani kumejaa midoli niliyokuwa nanunua na yeye alikuwa akinunua matoy ya kiume.nikapata mtu wa kuendeleza ukoo maana kwetu nimezaliwa wakiume peke yangu.
 
Tulipoteza mimba mbili kabla ya hiyo ya 3. Miezi ya mwanzo ilikuwa na uoga mwingi sana kuhisi nayo itapotea.

Naamini nilienjoy zaidi ile process sababu tulishapitia mengi na mzazi mwenzangu mpaka kufikia ujauzito huo.

Shauku ilikuwa ni kubwa mno hasa kuelekea kwa zile siku za kujifungua. Ilikuwa special zaidi sababu tulikuwa mbali na familia zetu kumaanisha we were the only family for each other. Kila kitu kilikuwa kipya kwetu, but worth it.
Kwanza pole kwa msiba mkuu, na imagine maumivu mliyo kuwa nayo mkuu.

Ila mwisho Mungu yu mwema nyakati zote, Kikubwa niku pongeze kwa kusimamia imara Kama baba.
 
Hahaha, halafu nili kusahau kaka Ivan Stepanov dah na imagine ulivyo kuwa na wenge😃.

Imagine uukizwe swali la kuhusu internet, we una waza aisee wata toka salama kweli??.
Mzee ile paper niliingia final nina course work ya 38/40 ila zile marks 60 za kwenye final niliambulia 9 tu na si kwamba yalikua mageni ila yakanifua mbaya mbaya nikalamba 9/60. Wenge la kuitwa baba.
BUt hii hali mpaka leo inanifanya kuwa commited sana na madogo. Sijawahi kuzoea moaka leo kuitwa baba licha ya watoto wa 4 sasa, huwa naona nina reaponsibility kubwa mnoo ambayo haizoeleki
 
Nilitambua sasa nimeleta kiumbe kipya duniani maisha yake ni wajibu wangu kuyatengeneza na kumwandalia kesho yake .
Ukipata taarifa umempa binti ujauzito , hakuna sababu ya kuuliza uliza ni yangu ama ni yake kama uliiloweka,wewe fungua account weka pesa ya mtoto na mama yake .
Hongera Sana mkuu kwa ujasiri ulikuwa nao.

Ila kuhusu uki pata taarifa kuwa binti ana mimba, sometimes tuna ona watu wanavyo bambikiziwa hapo mzee.
 
2. Una ushauri upi kwa vijana kuhusu suala hilo la kuwa mzazi.
Kuna usemi wa Kiafrika usemao, inachukua kijiji kizima katika malezi ya mtoto. Usemi huu unamaanisha kuwa malezi ya watoto yanahamasishwa na familia zao na watu wengine wanaowazunguka.

Hakuna mfumo maalum katika malezi ya watoto ila familia na jamii nzima ina jukumu kubwa katika malezi ya watoto, ikiwemo kuwalea kwa mapenzi makubwa. Kuna baadhi ya mambo ni ya kuzingatia sana;

Upendo wa dhati katika malezi ya mtoto ni muhimu sana. Upendo wa dhati humaanisha kumpenda mtoto pasipo na masharti, kumpenda wakati wote anapokosea na anapofanya vizuri, kumuonya na kumrekebisha kwa upendo ilihali akijua hata kama amekosea anarekebishwa kwa upendo.

Mapenzi kwa mtoto yanajenga uaminifu, misingi mizuri ya uadilifu na heshima. Mapenzi haya yalenge kumjenga mtoto kihisia na kisaikolojia na hii itafanya kazi ya malezi kuwa rahisi.
 
Mosi, nilikuwa na furaha imechanganyika na uoga wa kutosha il
hisia haieleweki

Pili, mke pindi anajifungua nilikuwepo. Kutoka pale nikaelewa utofauti wa mtu unpompa “cheo” cha mke na mwanmke mwingine tu.

Tatu, nilipojua ni mtoto wakiume hapa ndipo nilipochanganyikiwa zaidi, mara nyingi mke wangu alikiwa akisema huyu dume ila mimi nikawa nasema jike. Na c ndani kumejaa midoli niliyokuwa nanunua na yeye alikuwa akinunua matoy ya kiume.nikapata mtu wa kuendeleza ukoo maana kwetu nimezaliwa wakiume peke yangu.
Hata binti yako anaweza endeleza ukoo wako mkuu , kidume anaweza chapiwa watoto wote ukakuta hawana hata uhusiano na wewe bora nusu shari kuliko shari kamili
 
Kuna usemi wa Kiafrika usemao, inachukua kijiji kizima katika malezi ya mtoto. Usemi huu unamaanisha kuwa malezi ya watoto yanahamasishwa na familia zao na watu wengine wanaowazunguka.

Hakuna mfumo maalum katika malezi ya watoto ila familia na jamii nzima ina jukumu kubwa katika malezi ya watoto, ikiwemo kuwalea kwa mapenzi makubwa. Kuna baadhi ya mambo ni ya kuzingatia sana;

Upendo wa dhati katika malezi ya mtoto ni muhimu sana. Upendo wa dhati humaanisha kumpenda mtoto pasipo na masharti, kumpenda wakati wote anapokosea na anapofanya vizuri, kumuonya na kumrekebisha kwa upendo ilihali akijua hata kama amekosea anarekebishwa kwa upendo.

Mapenzi kwa mtoto yanajenga uaminifu, misingi mizuri ya uadilifu na heshima. Mapenzi haya yalenge kumjenga mtoto kihisia na kisaikolojia na hii itafanya kazi ya malezi kuwa rahisi.
Asante Sana kwa ushauri mzuri na murua mkubwa.
Hakika ukongwe wako ume onekana.

Vipi kuhusu changamoto ulizo kumbana nazo??
 
Mzee ile paper niliingia final nina course work ya 38/40 ila zile marks 60 za kwenye final niliambulia 9 tu na si kwamba yalikua mageni ila yakanifua mbaya mbaya nikalamba 9/60. Wenge la kuitwa baba.
BUt hii hali mpaka leo inanifanya kuwa commited sana na madogo. Sijawahi kuzoea moaka leo kuitwa baba licha ya watoto wa 4 sasa, huwa naona nina reaponsibility kubwa mnoo ambayo haizoeleki
Hahaha, lazima upate wenge aisee😃.
Vipi kuhusu shemeji yetu upande wake, yeye alikuwa katika hali gani??.

maana wengine nasikia Waki pata mtoto, Hawa taki kuwa mama aisee.
 
Mzee ile paper niliingia final nina course work ya 38/40 ila zile marks 60 za kwenye final niliambulia 9 tu na si kwamba yalikua mageni ila yakanifua mbaya mbaya nikalamba 9/60. Wenge la kuitwa baba.
BUt hii hali mpaka leo inanifanya kuwa commited sana na madogo. Sijawahi kuzoea moaka leo kuitwa baba licha ya watoto wa 4 sasa, huwa naona nina reaponsibility kubwa mnoo ambayo haizoeleki
Samahani mkuu! Uliyezaa nae chuo ndiye umemuoa?
 
Mosi, nilikuwa na furaha imechanganyika na uoga wa kutosha il
hisia haieleweki

Pili, mke pindi anajifungua nilikuwepo. Kutoka pale nikaelewa utofauti wa mtu unpompa “cheo” cha mke na mwanmke mwingine tu.

Tatu, nilipojua ni mtoto wakiume hapa ndipo nilipochanganyikiwa zaidi, mara nyingi mke wangu alikiwa akisema huyu dume ila mimi nikawa nasema jike. Na c ndani kumejaa midoli niliyokuwa nanunua na yeye alikuwa akinunua matoy ya kiume.nikapata mtu wa kuendeleza ukoo maana kwetu nimezaliwa wakiume peke yangu.
Hongera Sana mkuu, vipi kuhusu changamoto zozote mlizo kumbana nazo??.
Iwe kabla au Baada ya kupata mtoto.

Una ushauri upi kwa vijana, kuhusu suala Hilo la uzazi??
 
Back
Top Bottom