Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

Hivi kweli JF kunawatu wanatongozana?. Kuna kipindi nilikua nimeweka Profile picture ya Binti wa NIT aliepigwa risasi na mapolisi wa Magufuli, kuna jama mmoja mstarabu sana Kwa kumsoma akanifata PM anataka anitongoze nikamuambia Bro mie mwanaume hio picha tuu.😃
Huyo Mwamba alitisha, itakuwa ameshafika PM za Wadada wote humu 😜
 
Baada ya kuona mtoto niliyembeba akiwa mchanga wa siku 1 naye kapata mtoto
 
Nirudishe nimerogwa..??? Unantania ww.!!
Mkinga nirudishe pesa?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Noti zina picha ya Nyerere hazina picha ya mzee Tweve oooh!!
Siku uchukue za babu ngende ana miaka 82 sasa ila anakula wa 30 kuja chini ukichukua hela yake tu au ukaitikia salam au akakugusa . Utaipeleka mwenyewe na pichu umeacha kwako. Wee endelea tu na mitego hiyo. Chukua kama zangu shem wako si madhara
 
Hivi kweli JF kunawatu wanatongozana?. Kuna kipindi nilikua nimeweka Profile picture ya Binti wa NIT(Akwilina) aliepigwa risasi na mapolisi wa Magufuli, kuna jama mmoja mstarabu sana Kwa kumsoma akanifata PM anataka anitongoze nikamuambia Bro mie mwanaume hio picha tuu.😃
Huyo sio mstaarabu ni mshenzi wahedi, haogopi kutongoza avatar ya marehemu.??

Humu sio tyuu kutongozana bro.!!
Na miti wanapigana, meeting point yao mcity 🤣🤣🤣🤣
Ila mimi ninakoelekea ntapigwa mjue 🤭🤭
 
Siku uchukue za babu ngende ana miaka 82 sasa ila anakula wa 30 kuja chini ukichukua hela yake tu au ukaitikia salam au akakugusa . Utaipeleka mwenyewe na pichu umeacha kwako. Wee endelea tu na mitego hiyo. Chukua kama zangu shem wako si madhara
Mkinga harogeki uchawi kwetu tunaogeshewa tukilia ng’aaah pindi tunaingia duniani upo??🤣
 
Akha mi sitaki kukupa mtoto kazi ya Kantri hiyo. Ila nakujua . Ipo siku nitaweka wazi humu😂
Umeanza kunywa nzela unaropoka sasa chochote kile…!!
Sijui tayana naye alianzaje kubeba furushi km hili?? 🤣🤣🤣🤣🤣 dah!!
Ww Tayana-wog hivi ulianzaje mdogo wangu??? Najuta mimi kukushawishi 😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom