Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

Wanajimix vibaya 🤣🤣🤣
Kuna mmoja alikimbia walikutana tena na mtu wake wa mwanzo baada ya kila mmoja kutumia id nyingine kutongozana..!!
Wakajikuta wamekutana tena kwa mara ya pili zikiwa id tofauti NIWATAJE 😜🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Hivi kweli JF kunawatu wanatongozana?. Kuna kipindi nilikua nimeweka Profile picture ya Binti wa NIT(Akwilina) aliepigwa risasi na mapolisi wa Magufuli, kuna jama mmoja mstarabu sana Kwa kumsoma akanifata PM anataka anitongoze nikamuambia Bro mie mwanaume hio picha tuu.😃
 
Back
Top Bottom