Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

Aisee, wakati nipo katika harakati za kumtongoza huyu ambaye ndiye mke wangu, alikuwa anakuja sehemu ya makutano na kadogo kake ka kike akiwa amekabeba mgongoni... na nikawa nakapa pipi ili kasilielie wakati naongea na dada yake....
Nashangaa sasa kale katoto limekuwa limama likubwa manyoyo hayo.. mwili mkubwa kukiko hata dada yake..
Baada ya kumwona huyo binti...nikagundua kuwa kwa kweli mimi nimekuwa mkubwa sasa...

Jameni.....lahaulaaa...[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Majukumu tu yan, nyumban walpoanza kunipigia simu nitatue kero flani nikaona kha ama kweli sasa nmekuwa, na nlkuwa najfanya mkali nawawakia balaa yan mambo yakienda kombo utaskia ngoja tumpgie SSEKK
 
Back
Top Bottom