Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Wee sema kweli, usiniambie uncle Hadi mvi unazo😃Pale tu unaoona wategemezi wanakuwa wengi, yaani mtoto wa dada, kaka anapata likizo anapiga simu uncle nakuja, kuongezeka majukumu, kuota mvi, faza shkamoo etc.
Wakati ukuta.