Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

Ndiioo tena anakuambia mara Moja moja anaenda Chichi, chichi Kwa Tanga nisawa nahapo Liverside mkabala na Boss Kalewa wanapojipanga hao mabinti kuanzia mida ya saa mbili.
Huyo wa kumchapa bakora Aache tabia mbaya.. Umri huo wenzie wanafukuza sungura na kucheza na wajukuu yeye bado anakimbizana na mabinti 😬😑
 
Bara ipi?? Huko Mbozi kijana akibalehe anapewa mke.!!
Ww sema mizunguko ishakuchosha umezeeka, sasa age ukiwa na mtoto si anakuwa mjukuu wako 🤣🤣🤣🤣
Hapana nimejitafuta naona nimejipata Sasa ndio muda wakuoa Sasa, sio unaoa hata bill ndogondogo zinasumbua kibongo bongo chuo mtu unamaliza na Miaka 23/25 Kwa wale tuliosoma chuo course za miaka 4/5 then usugue kidogo kitaa maana hatuna wajomba Ikulu, unakuja kukaa kwenye ajira na miaka 27/28 then inatakiwa ujipange Sasa ndio uoe. Mie watoto wanje yandoa sitaki kuwasikia labda itokee tu ingawa na muomba Mungu anisaidie.
 
Sawa umechelewa watoto watakuwa mazube tofauti na ungewazaa ukiwa 20s 😀
 
Back
Top Bottom