Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe napenda Sana kumwamkia jamaa... Pokea heshima yako mkuu🖖🖖Nimtihani kiukweli lakini huwa naitika kabisa.
Kuna Mzee mmoja yupo Tanga anamiaka kama 70 anakuambia mabinti wanapenda sura ya Nyerere na Mwinyi tu, hawaamgalii sura yamtu mwingine, kwahio yeye anapiga mabinti wadogo tu, ilikradi anawaaachia sura ya Nyerere na Mwinyi.Nirudishwe nimerogwa..??? Unantania ww.!!
Mkinga nirudishe pesa?? 🤣🤣🤣🤣
Noti zina picha ya Nyerere hazina picha ya mzee Tweve oooh!!
Lakini si ilikuja na good experienceMimba kuingia tu nikajua hapa tayaree😩
Bara ipi?? Huko Mbozi kijana akibalehe anapewa mke.!!Bado sana ndio niko kwenye 31/33. Ndio muda sahihi wakuoa hasa Kwa sisi watu wa Bara.
Ndo nikaongeza na Mwingine Kabisa cuteLakini si ilikuja na good experience
Miaka 70 bado anahangaika na vibinti🧐Kuna Mzee mmoja yupo Tanga anamiaka kama 70 anakuambia mabinti wanapenda sura ya Nyerere na Mwinyi tu, hawaamgalii sura yamtu mwingine, kwahio yeye anapiga mabinti wadogo tu, ilikradi anawaaachia sura ya Nyerere na Mwinyi.
A ha ha ha ha hapana mkuu, mie naona wa 2000 nyie mishangazi wa 90S chukuliweni na watu 80S, hawa tuliosoma nao sitaki kuwasikia kabisa.Kwani uongo.?? 🤣🤣🤣
Nyie wa 90s mpambane na sie mishangazi tuliopishana na mishale mingi, acheni kuharibu watoto
Hongera dear.. Napenda katoto Ila naogopa🥲🥲🙈Ndo nikaongeza na Mwingine Kabisa cute
Wanaangalia pesa, sura kwani umeambiwa anataka kuzaa naye 🤣🤣🤣Kuna Mzee mmoja yupo Tanga anamiaka kama 70 anakuambia mabinti wanapenda sura ya Nyerere na Mwinyi tu, hawaamgalii sura yamtu mwingine, kwahio yeye anapiga mabinti wadogo tu, ilikradi anawaaachia sura ya Nyerere na Mwinyi.
Ahahaha 😂😂😂😂🙌Nilipoambukizwa kisonono tuu nkajua tayari umri umeumana
Wee sema kweli 😃spidi ya kufanya mapenzi imepungua ndio nikajua umri ushaanza
Jirani mpana 🤣🤣🤣😂Hapo ndo tutaenda vizuri sasa,,, enhe ikawaje😂😂😂
Fuata moyo,ukisema subiri we subiri momHongera dear.. Napenda katoto Ila naogopa🥲🥲🙈
Ndiioo tena anakuambia mara Moja moja anaenda Chichi, chichi Kwa Tanga nisawa nahapo Liverside mkabala na Boss Kalewa wanapojipanga hao mabinti kuanzia mida ya saa mbili.Miaka 70 bado anahangaika na vibinti🧐