Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

Ni mimalaya sana 🤣🤣🤣
Kuna moja lilinipa laki eti ninunue bundle, nikaliuliza ww kwenye simu yako una bundle hata la elfu 20..???
Nimecheka sana eti ni "MIMALAYA" mie kijana mwezio kabisa wa 90S, Inapaswa nioe mtoto wa 2000S, Hawa tunaolingana wanaolewa na watu waliozaliwa 80S. Ndio heshima inakuwepo ndani ya nyumba, unakua umemzidi Kila kitu binti.
 
Kwani uongo.?? 🤣🤣🤣
Nyie wa 90s mpambane na sie mishangazi tuliopishana na mishale mingi, acheni kuharibu watoto
 
Back
Top Bottom