Shem kama shem. Mshenga wangu ninayejidai naye😂😀Umeanza kunywa nzela unaropoka sasa chochote kile…!!
Sijui tayana naye alianzaje kubeba furushi km hili?? 🤣🤣🤣🤣🤣 dah!!
Ww Tayana-wog hivi ulianzaje mdogo wangu??? Najuta mimi kukushawishi 😭😭😭😭
Familia tumekukataa mffyuuu!! Mbona ww king’ang’anizi jamani arrrrgggggg 😡😡😡Shem kama shem. Mshenga wangu ninayejidai naye😂😀
Forest Hill walikuwa na kazi .yaani pamoja na ku sponsor kikao. Umekula kama wa jumbe 😀😀😀😀😀😀Familia tumekukataa mffyuuu!! Mbona ww king’ang’anizi jamani arrrrgggggg 😡😡😡
Ndo alivyokupanga yule mentor wako?? 🤣🤣🤣Forest Hill walikuwa na kazi .yaani pamoja na ku sponsor kikao. Umekula kama wa jumbe 😀😀😀😀😀😀
Kwa heshima na taathima ya Beibi T tunaleta mahari kwa Ba mkubwa maana BeibiT huyu hapa amejinyosha ki partable mwenyewe😀😂Ndo alivyokupanga yule mentor wako?? 🤣🤣🤣
Mwambie familia tumewakataaaaaa!!!
Mpo km ruba hamjui kukataliwa eee?!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yale matangazo ya kazi yanakutupa mkono kipengele cha miaka,, [emoji23]
Umri 25 - 33 age,
Baada ya kupokea shikamoo nyingi kila napokatiza mitaa.
Nilijua baada ya wewe kunikataakampelewele ulijuaje kama umri umeenda?
Wajukuu wanalea mababu! HatuwaachiFanya uachane nae bhana... Ni mwanao huyo ujue
Daah basi sio poa, mie nikajua tu watu wanazinguana humu, mie nakujiunga kwangu kote humu tangu 2014 hakuna mtu naemfahamu wa humu, kiukwel itakua ushamba haujanitoka. Na unaanzaje kutongoza mtu usiemjua?. Au kutongozwa namtu usiemjua na mnapanga kabisa muonane mfahamiane?.Huyo sio mstaarabu ni mshenzi wahedi, haogopi kutongoza avatar ya marehemu.??
Humu sio tyuu kutongozana bro.!!
Na miti wanapigana, meeting point yao mcity 🤣🤣🤣🤣
Ila mimi ninakoelekea ntapigwa mjue 🤭🤭
Kamoja tuliloga pale msimbaz tulishindwa nyi watu afu sio wachamunguMkinga harogeki uchawi kwetu tunaogeshewa tukilia ng’aaah pindi tunaingia duniani upo??🤣
Ahahaha 😂😂😂🙌Wajukuu wanalea mababu! Hatuwaachi
Maanake toka zamani ulikua bado hujijui kama umri umeenda😂😂🧐Nilijua baada ya wewe kunikataa
Sikujua hadi siku uliponikataa. Lakini sasa nataka kwenda Uturuki nijikarabati nikirudi, mwenyewe utanitumia na hela ya kutoleaMaanake toka zamani ulikua bado hujijui kama umri umeenda😂😂🧐